@zbc_zanzibar: Mwigizaji mkongwe wa filamu za Bollywood nchini India, Sanjay Dutt, amewasili Visiwani Zanzibar kwa ajili ya mapumziko na utalii. Hii ni mara ya pili kwa mwigizaji huyo kutembelea Zanzibar, baada ya ziara yake ya awali mwaka 2021. #ZBCUpdates
ZBC Zanzibar
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 13:38:12 GMT
Music
Download
Comments
zahaal british :
akija Hrithik Roshan,SRK au tiger shroff mniamshe
2026-11-19 16:14:06
1
baby daughter💞 :
jaman uyo sanjay dutt mbona kafanana na marehemu maalif seif ☺️
2026-11-19 16:14:42
3
pretty ⚘️❤️❤️ :
weee akiend foro mniambie
2026-11-19 14:11:26
4
haklytruly :
G😁 east go west Zanzibar is a best
2026-11-19 16:10:43
1
gullynully :
jamani jamani my favourite actor since I was child
2026-11-19 15:47:38
0
reespice :
when has he arrived
2026-11-19 16:00:13
0
you2you :
anifundishe kuruka juu ya nyumba
2026-11-19 15:43:55
2
.. :
muekezaj wa znz souk
2026-11-19 14:12:55
0
Salha Baraka marande :
welcome sanjay
2026-11-19 15:08:39
2
Abrah👣 :
Nyinyi Jiamulieni mambo tu siku Nikiingia Airport Nikakuta gari Haina plat number chek Main Get mtanieleza imeingia kwa sheria ipi.🤔
2026-11-19 15:03:30
0
muphaty_alsina :
sanju baba
2026-11-19 16:19:27
0
Arif Shatry :
sanjay dutt
2026-11-19 15:21:55
0
Ali :
munna Bhai
2026-11-19 15:37:43
0
Noora mo :
Sanju baba iyo lini iyo
2026-11-19 15:22:18
0
Juma :
msifanye mda wote nikawa naangalia tz safari
2026-11-19 16:05:56
0
zamzam00374 :
Hiyo lini iyoo
2026-11-19 15:57:51
0
carma :
🥰
2026-11-19 14:11:09
1
gullynully :
pass my regards to him
2026-11-19 15:48:13
0
Salim Alnadaby🇴🇲 :
2026-11-19 15:15:43
0
clever9 :
mteja uyo😁😁😁
2026-11-19 14:45:10
0
sweety zuu :
Sanju babaaaa [Pray][Heart eyes] I love him yaar [Heart eyes][Heart eyes][Heart eyes][Heart eyes]
2026-11-19 15:20:32
0
user1041483317631 :
akija shaharuk Khan tupeane connection
2026-11-19 16:21:08
0
Sarah Sarahhijah :
waooohh
2026-11-19 15:32:18
0
Di Muge :
kaja tembelea wahind wenziwe huyu ana ndugu zke huku
2026-11-19 14:43:12
1
Naona Bos Hakim kimara umekua kumpeka msela Sanjedat
2026-11-19 14:39:05
0
To see more videos from user @zbc_zanzibar, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.