@wendefm: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ametoa wito kwa wanaume kuwa na tabia ya kutowatengenezea wasiwasi na mashaka wake zao, akisisitiza umuhimu wa kujenga mazingira ya amani, upendo na kuaminiana ndani ya familia. Akizungumza leo, Novemba 19, 2026, wakati wa Kongamano la Wanaume la Mkoa wa Iringa lililofanyika katika Ukumbi wa Masiti, Kata ya Gangilonga, Manispaa ya Iringa, Kheri James amesema wanaume wanapaswa kujifunza kuishi na wanawake kwa kuzingatia hisia zao na kuepuka vitendo vinavyoweza kuwapa hofu na mashaka yasiyo ya lazima. #nguvuyaupendo❤️🤍 #wendefm

Wende FM
Wende FM
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 14:20:15 GMT
16378
1207
46
276

Music

Download

Comments

meemkoreah
Meemkoreah ❤️ :
hata hapa ninapokusikiliza nina wasiwasi[Big LOL]
2026-11-20 05:32:19
10
user99700207203498
Mwajei :
unacheka nini unatupa wasiwasi
2026-11-20 03:46:52
7
irene.j.macha
irene macha :
ataulivocheka nmepata wasiwasi😅😅😅
2026-11-20 05:46:07
2
mislovie2
Mis Ag.😘 :
Halafu kuna mm nina wasiwasi kwann umekua mkuu wa mkoa wa iringa na sio dar,
2026-11-20 07:00:00
0
user3500206385194
user3500206385194 :
hapa ninapo Toa comment Nina wasiwasi🤪🤪
2026-11-20 06:32:42
1
maryrose80533
maryrose :
😅😂😂😂 kooh sis niwasiwasi et
2026-11-20 05:19:53
0
fenghao.company
Fenghao pikipiki :
yaan kuna wakati nikiwaza sisi wanawake tuna nakosa cha kujitetea mimi na wenzangu😂😂😂
2026-11-19 16:38:33
2
leah.angelo2
Leah Angelo :
Wasi ndio akiri mkùu
2026-11-20 07:12:53
0
happie48
Happie Mhagama :
tusipokuwa na wasiwasi mnasema tunachepuka haya tufanyaje?
2026-11-20 06:03:45
0
gloryvictor35
Mrs wizzy🥰😍👑 :
Status moja kwa moja😂😂😂
2026-11-20 07:03:49
0
tecla342
Tee_Tecla🦋❤️🦋 :
mi 5 tena
2026-11-20 07:21:03
0
veronikaclement0
Veronika Clement :
unasemakeeri🤣🤣😂😅
2026-11-20 05:35:36
0
markogwaltu
markogwaltu :
mkuu una madini sana
2026-11-19 21:07:14
1
estermiagie
Ester Miagie :
mmmmm atari
2026-11-20 05:38:22
0
sabinamanonga
Sabina :
Ee
2026-11-20 05:21:11
0
noela7465
noela :
hahaaa
2026-11-20 04:20:26
0
dativa.katura3
Dativa katura :
😂😂😂😂😂😂
2026-11-20 05:28:37
0
mariam.abdillah7
Mamu wa muu💕 :
2026-11-20 07:17:07
0
ingei29
ingei29 :
zamani ila sahv sina wasiwasi labda nikikosa ela
2026-11-20 04:35:32
0
dorha.lyatuu
Dorha Lyatuu :
Kabisa
2026-11-20 04:40:04
0
beatrice.ludasi
BEATRICE LUDASI :
ivi nini Niko ilinga sijamwona.laive huyu mkuu.tumepata neema hakiyamungu
2026-11-20 05:12:26
0
beatrice.ludasi
BEATRICE LUDASI :
ubalikiwe
2026-11-20 05:12:49
0
naahayub0
it’s Naah💸 :
2026-11-20 07:31:32
0
philimena.msimbir
Philo :
Nakuona mbali sana 🥰🥰🥰
2026-11-20 05:08:15
0
veronica65918
Veronica 🥰 :
2026-11-20 04:25:56
0
To see more videos from user @wendefm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About