@bbcnewsswahili: Kifo cha Angel Wariael, binti aliyepigwa risasi na kujeruhiwa Oktoba 29 kimeibua huzuni na simanzi miongoni mwa Watanzania. Angel, alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) baada ya kujeruhiwa kwa risasi wakati wa matukio ya Oktoba 29 akiwa nyumbani kwao Manzese Kifo chake kilithibitishwa Novemba 18, 2026 na Hospitali ya Taifa Muhimbili #bbcswahili #viral #fyp #foryou #tanzaniatiktok #AngelWariael
bola asingeenda hospital jamani ndio kaenda kufa 😭
2026-11-19 16:15:58
12
mgwaneza ndushabandi :
ati mtoto hajafa toka October29 lakini kaenda tu au bac 😭😭😭
2026-11-19 15:42:46
14
F💕 :
Mungu ampokee mja wake na atufanyie wepesi tulio baki 🙏🏻🙏🏻🥹
2026-11-19 15:12:26
13
Last Born💕 :
MUNGU MBONA NIKAMA UMENYAMAZA😭😭💔💔💔
2026-11-23 08:40:12
5
Perpetua Massawe :
MUNGU MUUMBA KWA NINI UMEINYAMAZIA TANZANIA 🇹🇿 NIKWELI BABA SISI TUNAMAKOSA UNAOMBA USAMEHE MAKOSA YETU KUMBUKA REHEMA MUUMBA HATA LINI TUTALIA USITUNYAMAZIE BWANA
2026-11-19 15:02:45
11
Gerald Jabu1 :
Rip Malaika 😭😭
2026-11-19 14:45:49
1
Giana Frank :
Mimi naamini hata family wametishiwa wasikubali kuhojiwa na vyombo vya habari hasa vya nje ya nchi
2026-11-19 15:52:35
7
Genge empire🥾🥾🇰🇪 :
kuna siku hii maumivu itahamia mikononi mwa raia,, maisha hayajawahi kuw sawa ,,,
2026-11-19 14:49:28
8
Dady Santos901. gmail. com :
Muuwaji wetu tupo naye
2026-11-19 15:29:30
5
Mji wa Him :
sikia sasa alifariki wakati alikuwa na matatizo lisilo la kifo nilakutibiwa akapata nafuu wameuwa shahidi wa moja kwa moja maana waliona huyu atatuchafua viongozi kwisha habari yake da pole familia mmgetulia tu na mtoto wenu
2026-11-19 15:02:01
4
Faraja Mdeya :
mbona anavotoka nyumbn alikua sawa tu imekuwaje amefariki jaman kapigwa risasi tokea mwaka Jana ameweza kusurvive Hadi mwaka huu kitendo Cha kwenda tu muhimbili kafariki Kuna nn jaman😭😭
2026-11-19 19:32:56
3
TUNASHINDA MSIOGOPE 🇹🇿 :
NI MAUMIVU MNO
2026-11-19 14:46:24
7
Aviti Mosha :
haki za binadamu ni zipi jamani labla mimi sijui jamani kama kweli zipo na hizo nnchi za ulaya kama zinaweza kutusaidia watusaidie basi waliofanya wapo video zipo kinachoshindikana ni nini?
2026-11-20 04:15:17
3
mamy ♓ :
wamemuua jaman
2026-11-19 16:12:00
3
ZAHIRI_22 :
wamekaua man
2026-11-20 04:24:07
1
Freeman🌴🗽 :
Umeuguza Majeraha Mwaka Mzima ukiwa Nyumbani, Wiki mbili tuu za Matibabu ya Ufadhili Umekuwa Mvivu Wa Kuvuta Pumzi😭😭.RIP 😇 Angel Ni Umetangulia Tu Sisi Tunakuja Pia, Haki Itapatikana Mbele Kwa Mbele😭🙏🙏
2026-11-19 15:34:54
2
Smash Hazard 🇹🇿 :
Bora wangeendelea kubak nae nyumbn na mateso ake ona wameenda kummalzia atoeke dunian mana kila akihojiwa viongoz wanaona km taifa linazalilishwa anyway apumzike kwa aman 😭😭😭
2026-11-19 17:22:46
1
yunus@112 :
pole kwafamilia k wakumpoteza mpendwa wenu nMungj ampunzi she kwaamani . dunia rutaicha ila tuombe mwisho mwema
2026-11-20 03:49:04
1
shukey chenga chenga :
pumzika kwa amani mdogo wangu
2026-11-19 16:25:04
1
da yuuu tz :
🥺🥺🥺 allha tujaaliye mwisho mwema 🥺🥺
2026-11-19 15:30:16
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.