@ranykida: DANCERS msikatishwe tamaa Mafanikio hayaji ghafla but God,consistency & hardworking ndo msingi pia tusipende kufake maisha shida dancers wengi wanafake maisha ambayo hawana ndo maana mwisho wa siku tunaongelewa vibaya ila Uyo chawa wa manara Tv kuna namna ajakaza kalegea legea asiwaumize mioyo yenu huenda maisha yanamchanganya tu 😂 Af kuna na uyu dancer ananiongelea kwenye tiktok live zake angekaa kimya tu kama anashida na ela yakula anchek nimtumie pia aache kufake maisha tutashindwa kumsaidia akipata shida PEACE✌️ #ranykida #hustler
mdogo angu nakufatilia sana na sana umepambana. kutoka Respec parb , kwenda dance mima mia , adi dar umepambana adi kupata gali umepambana sana,. usinishie apo zidi kuwadondosha pambana,. mungu ni mwema sikuzote tu wakilishe vizur Bmlo yetu kaka , akuna dance wa kupinga we ni mkali na utazid kua mkali👊👊👊👊
2026-11-19 22:10:23
1
Trendxx5 :
saiv class wotee unatubeba kwenye gari hilo😂
2026-11-19 16:54:30
12
Joseph Yona :
why there's hatters 😏🥺 Mwenyezi Mungu akupe zaid
2026-11-22 05:11:30
1
xoniz_himself :
proud of you IDOL
2026-11-20 11:48:42
0
katoniabdallah :
sawe kida umetisha sana🫡🫡🫡🫡
2026-11-19 20:56:39
0
GRAPHER 💵 :
Stay focused Mamen. Achan na Washamba
2026-11-19 17:45:13
4
wizzy_ley_papy🤟✨ :
Wameanza kutoa milio kaka kazia apoapo😅😂😂🔥🔥🙌🙌
2026-11-19 15:42:47
9
wise-lee-official Tz🇹🇿 :
noma sana hiyo shoo
2026-11-19 20:52:31
1
swaxx.sk🥷 :
kweli kaka
2026-11-19 15:01:40
6
M I R A A Q 🥶 :
MISINGI📌
2026-11-19 21:34:27
1
smooth kiddy :
sana bro
2026-11-19 15:00:03
2
Ndunga_dash👑 :
Sana mdg etu 🔥
2026-11-19 15:12:24
1
DREZY SWAGGZ💫💥💫 :
fact broooo dancer hatufake😅
2026-11-19 15:12:28
0
bokadancer :
noma sana
2026-11-22 08:46:07
0
Juma_nyosso🧢 :
big up family🙌🏻🤜🏻🤛🏻
2026-11-21 17:38:16
0
user15104103078782 :
muzuri
2026-11-21 07:50:04
0
To see more videos from user @ranykida, please go to the Tikwm
homepage.