sisi wengine wanaume zetu ndo wanatusapoti kwenye biashara zetu,ukisema hivyo unashawishi kwamba wasitusapoti au vipi? kumbuka wanatusapoti wao kuliko ndugu zetu,na wana TUAMINI na kutushika mkono Ata pale tunapoteteleka kwenye biashara kuliko ndugu wala watu baki,kwahyo huo mtazamo wako kulingana na watu wako unaokutana nao ungebaki nao moyoni na sio kupost mtandaoni.
2026-11-19 16:39:05
9
Tayana :
Exactly mm ni msichana lakini I support this 📌📌📌
2026-11-19 15:52:21
5
"BenNicholaus :
that's fact Danny big point ☝️
2026-11-19 17:58:38
0
Martha H😋 :
ila😂😂😂kwahy hapo unaona umeongea point mwenyewe
2026-11-19 17:53:33
2
meddy mildness :
sahihi my brother
2026-11-19 15:02:34
1
🤍🤍🌟✨💫💫 :
Kwa jicho la tatu inamake sense
2026-11-19 17:38:10
1
Barry23 :
inshort kama sio mamaangu, dada ,mke au bintiangu , hiyo hela sitoi hata kwakukopesha siwezi kabisa. pesa iheshimiwe na watu wote
2026-11-19 16:39:00
1
jaycentral☘️☘️💸 :
Good advice nitaufanyia kazi mara moja
2026-11-19 16:49:31
1
user40117458353441 :
uhakika bro Asante
2026-11-19 15:48:21
0
Ariahmum :
so hutaki sisi tupate pesa🤣🤣
2026-11-19 14:58:15
0
KINGROY👑 :
my brother in Jesus
2026-11-19 15:37:55
0
FAUDHU :
duh! uhakika mwanangu tusiendekeze hisia🙌
2026-11-19 16:06:03
0
Dosia🍎 :
Wahoo. Nice point📌
2026-11-19 15:31:34
0
Janelle🩷 :
Hii nayo haina comeback 😂
2026-11-19 15:42:31
0
Da_huu Dodoma juice :
Ndiyo maana bwana angu kaacha kunipa pesa kumbe kasoma humu 😌
2026-11-19 15:42:29
2
Jason Dangote👑🫧 :
My Broo🔥🔥🙌📌
2026-11-19 15:14:37
0
Tina Kidoti😍♋ :
Zunguka weee mi nipo hapa Uje unioe niwe mama wa nyumbani tu nikuletee na watoto wako
2026-11-19 17:39:02
1
🎀pamella❤️🩹 :
Exactly 💯
2026-11-19 18:19:32
0
Jolly :
waooh good 🥰
2026-11-19 15:16:33
1
abou 💦 :
we jamaa ni mwenyekiti kabisa🤒
2026-11-19 15:07:14
0
faith🦋 :
ni kama inamake sense lakin
2026-11-19 15:14:13
0
Lilian Mussa :
in third eye it make senseo 😁😁
2026-11-19 16:24:15
0
Anna Vitus :
Apo ntaishi na kam niwe nmekupenda ile ya kwel
2026-11-19 17:05:50
0
Dan Walker 🏁 :
2026-11-19 16:59:35
0
Patrick :
Hawapendi ukweli hao👏
2026-11-19 18:37:09
0
To see more videos from user @dskileo, please go to the Tikwm
homepage.