@bolingo.zaire: Furahia wimbo Palabre katika Swahili ao Kiswahili kutoka Lingala ao Kilingala. Watu wa Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Tanzania na Mashariki ya Congo mtafurahia sana tafsiri hii. Niambieni maoni yenu kwenye comment kuhusu ujumbe wa tafsiri ya wimbo huu. #palabre #fallyipupa #swahilitiktok #xx #bolingozaire