@qaswida8: Usiache ku Follow na ku like na ku comment page yangu kwa Qaswida kama hizi za harusi na nyenginezo Asanteni #qaswida🥰👌 #tanzaniantiktok🇹🇿 #zanzibar🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #swahilitiktok
hii qaswid huwa nairudishia zaid ya mara 5..naipenda sanaaa
2026-11-21 21:46:44
2
Kh@dej@h🌸🧕✨️🇹🇿 :
navoipenda hii qasda hadi mama angu hua ananuliza kwan uliolewa ukaachwa na hatujui🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-21 11:43:06
1
💕 me 💕 :
mashallah mmependeza
2026-11-21 07:40:19
1
ivy ismail :
qaswida yangu pendwaa ❤️❤️❤️❤️❤️
2026-11-20 10:32:35
5
Dr Husseini :
jina la kaswida
2026-11-20 08:48:33
1
seif Bausi :
mm c mpenz wa qaswida ila hii nimeipenda kuanzia video mkp ujumbe ulikusudiwa.salut kwao
2026-11-20 10:16:27
6
shaa baby 💖💝💗 :
mashaallah
2026-11-21 12:15:05
1
SWAUMU DAUDI🌷🌹 :
jaman mungu wangu kila nikisikia hii kaswida nawaza 2024 mung wangu nipe subira jambo sipo nae tena ila naomba akioa mwanamke mwingine anipe mtoto wang tu inatosha😳😭🙌🙆
2026-11-20 13:01:24
3
user4927844482108 :
talaka
2026-11-20 10:52:44
2
SADAH ALY :
jamani hii kaswida naipenda sana mashalla yaani hichuji kila siku ni mpya🥰🥰🥰🥰
2026-11-21 11:17:55
1
jirani mwema🫂 :
full qaswid please🥰🥰🥰
2026-11-21 04:23:11
1
@sharuna :
jina la qaswida
2026-11-20 10:51:31
1
ibrah :
mashallah
2026-11-21 07:37:45
1
asha Mohamed :
mashalla
2026-11-21 04:11:47
1
user4704111910812 :
mashaalaaaaaaa
2026-11-21 14:03:58
1
King of love :
❤️❤️❤️❤️❤️
2026-11-21 07:24:47
2
m samir :
mashaallah
2026-11-21 17:28:59
1
Sadick yunusu mswaki💖☝️🇹🇿 :
2026-11-21 13:39:27
1
mardhia abu :
MashaAllah ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-11-21 11:13:28
1
Princess ray 💖 :
napenda san qaswida za shekh hafidhi
2026-11-21 20:52:43
1
zeah@23 :
naipenda sana hii kaswida tangu nikiwa na miaka 13
2026-11-21 09:06:37
2
aishaothumani :
mashaallh
2026-11-20 18:46:35
1
user86862042251246 :
pambeeeeee@
2026-11-20 17:04:09
1
usersakina :
mashallah
2026-11-20 19:28:11
1
To see more videos from user @qaswida8, please go to the Tikwm
homepage.