@paza_sauti_media: "Mwanaume usikubali kulelewa watoto wako kama una uwezo wa kulea mwenyewe. Kuna faida ya mtoto kulelewa na baba na mama na kuna faida ya mtoto kusikia sauti ya baba ndani ya familia" Amesema Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James kwenye Kongamano la wanaume mkoani iringa Novemba 19, 2026.

Paza Sauti
Paza Sauti
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 15:32:20 GMT
48280
3029
121
464

Music

Download

Comments

user6538490062714
jamygodybless :
uwezo wanao ila hawawatakii
2026-11-19 16:42:05
40
happymkilima
mom2🥰🥰🥰 :
tusikubali jaman kuwaacha watoto wakaendazao Kwa baba chondee
2026-11-19 16:46:49
40
baba.baytham
stephano mashamba :
umesema kweli, wanangu niko nao
2026-11-19 16:54:41
4
user9704304769931vane
Vee_mamy :
semaaaa maana nachoka mimi 😂😂
2026-11-19 18:05:01
3
zuwenaznz
Zuwena Zanzibar Wedding Dress :
wanawake eeh kikao cha jumamosi tujadiliane tumpandishe cheo uyu baba 😂😂😂 tunataka watu kama awa
2026-11-19 17:37:35
7
mshappie87
miss happie :
Muheshimiwa mm nahamia iringa kuanzia leo
2026-11-19 16:57:56
2
popigagia
popigagia :
mm watoto watasema "mm katika maisha yangu sijawai kumuona baba "
2026-11-19 17:02:32
2
user2450608172471
user2450608172471 :
point kabisa muheshimiwa
2026-11-19 16:50:52
3
munny249
Ms munnie 🥰❤️ :
hii nayo naipeleka status
2026-11-19 18:22:17
1
shikanaglory
ShikanaGlory :
Yani kuna wanaume wana akili jmn ♥️
2026-11-19 18:00:40
1
mg.queen170
MG💜🤟 :
Mungu akubariki sana waambie jaman mabibi nao wanatakiwa wapumzinke🥰🥰
2026-11-19 16:19:56
3
s.t.i.m.ah
s.t.i.m.ah :
Rudia kwa namna nyingine hawaelewi hao
2026-11-19 16:51:36
2
anethsamwel7
hidaya112 :
hapo kazin kwangu kuna kazi.kama kunabaazi yawanaume wanataka kulelewa mmh
2026-11-19 17:03:29
0
glory.raymond0
Glory Raymond :
Sio kwa wanaume waleo baadhi yao hata habari na watoto hawana
2026-11-19 16:57:59
1
chamideko_01
🦋Bebevannila_💫 :
Kashachelewa
2026-11-19 17:25:39
1
user5099878811574
user5099878811574 :
Sema baba
2026-11-19 16:46:45
2
qeen27161
Qeen❤️ :
Ngoja nikae kimy 😳
2026-11-19 16:59:27
1
user5700540879354
sweet j🥰 :
point baba
2026-11-19 16:57:24
1
user5038133380484
[email protected] :
watakuelewaaaaa?
2026-11-19 16:30:06
1
richchaula
geza ulole :
wanakimbia nao sasa
2026-11-19 16:53:39
1
66unknown0
Shams :
Watoto Siku hizi tangia Darasa la kwanza wanapelekwa boarding school, hawaoni Wazazi mpaka likizo ifike, imagine hawa Watoto wanakulia malezi ya Nani? Afu tunalalamika wakikua na wana tabia za ajabu 🤷🏻
2026-11-19 18:36:10
0
chima3584
Chima♋️ ✨️ :
huyu kamzungumzia baba angu wallah🥰🥰🥰
2026-11-19 18:32:33
0
maariana097
Edna Aple :
hii ni hatar wanaume inawahusu hii
2026-11-19 18:30:51
0
bmm2296
Bmm2296 :
😅😂😂😂ilaaa
2026-11-19 18:33:14
0
user1867207630744
wakaso :
Asante brother
2026-11-19 18:27:05
0
To see more videos from user @paza_sauti_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About