mm siombi na akuna mtu ananipa bali najitaftia mwenyewe
2026-11-19 17:47:28
93
Da mdogo ♥️ :
aaah wap daa sugar napinga hiyo mm mtu wangu simuombi pesa na Sina mtu ninae muomba mwengine pasipo jasho langu tu
2026-11-19 17:29:21
48
Anisha salumu :
Sikwel dada wanawake sikuiz tunapiga kaz
2026-11-19 17:56:07
35
Tinny@Pinky :
Uongo sio wote dada wengine wetu twajihudumia wenyewe samahani 😏🫴✌️
2026-11-19 18:30:04
14
Mwanamkuu Jumaa :
tuna pesa zetu. si wote
2026-11-19 18:25:35
4
phayner61 :
Dada mchonganishi wewe🙌🙌🙌🙌💔
2026-11-19 18:06:28
3
Sonjo :
uwongo, some of us are very independent,we don't expect much from men
2026-11-19 19:02:55
0
love27211 :
Not all women are like that. some of us we are self-sufficient..
2026-11-19 18:52:46
0
Mamali :
This era .wrong advise
2026-11-19 19:06:56
0
❤🥰Lady M❤🥰 :
Uongo huo, si wote wako hvyo, wengine wanajua kujitafutia. Na mwanamke anae kupenda kweli si rahisi akuombe ombe pesa, ana penda mwana mume mwenyewe ndio ajiongeze ampe na amjali.