basi mimi sina NIDA siowi tena ndio maana wana tusumbuwa kumbe wengi wao wameoza tayari
2026-11-19 18:37:23
0
Danford :
77.7 ni kundi kubwa kwasababu ya tamaa ya pesa na vitu vizuri
2026-11-19 18:24:58
0
TIM CONNCT :
kwaiy mnatak nyie ndo muwe juu yetu kwakila kitu iyo aipo😂😂 mungu niepushie mbali ili gonjwa
2026-11-19 19:46:24
0
Said Ally :
duuuh lkn mm naamn shule hasa ngazi ya vyuo ndpo wadada wengi hupata haya maambukizi kwa wadada mana aslmia kubwa wadada wakiwa chuo huwa wanaishi na wanaume magetoni hasa wakazi WA mazngira ya vyuo, so mwanaume unakuta kla new intake anachukua kadada kapya ambacho hakimfahamu, so kuzuia hyo lazma wanafunzi wakiwa chuo wasimamiwe na Sheria ya secondary out of that tujiandae kuhuzuria dilishani2 kuchukulia daw dada zetu wakiwa hoi majumbani
2026-11-19 19:06:25
0
omarysella :
kula mishangazi tu Haina mambo mengii
2026-11-19 19:25:48
0
Titan :
2026-11-19 19:18:56
0
🎖️DJDEE🎖️ :
apo wajifunze waaache kula na kupenda ela za wazee wangu wa kupanda MNAZI OYE
2026-11-19 19:45:17
0
sumaiya barinaba :
😂😂😂
2026-11-19 18:53:25
0
To see more videos from user @jackiehealthtips, please go to the Tikwm
homepage.