kama anatimiza majukumu yake ya ndoa kikamilifu hana haja ya kuondoka kwa sababu hilo no tatizo ambalo halihotokea bahati mbaya akae tu aongee nae mumewe ajaribu kumuasa huenda akamuokoa kuliko kuondoka atavuruga familia watoto watapoteza muelekeo
2026-11-20 06:39:03
6
malisha :
vitu hivi kuviongelea ni kuendelea kuvi promote
2026-11-19 20:52:26
5
Mrs Mkina🦋🦋 :
Dunia imeisha jamn🙌🙌
2026-11-19 17:29:42
0
Kubwa la maadui 🦅 :
iikitu isikie tu me ndo sitk kusema [Crying]
2026-11-19 17:50:12
5
M@STER J🪐🦺🦺🦺 :
duu! dunia inaenda wap jaman 😭
2026-11-19 17:38:52
5
𝖡𝗋ɑʑɑ 𝖦ꪱᜒ𝗏౿𐓣 ⚓️ :
story umeibadilisha, ila fresh 🫡
2026-11-20 08:07:13
3
aziza yussuf :
Kwa sheria yetu ya Dini ya Kiislam, hapana ndoa tena hapo
2026-11-20 14:01:02
6
Champz.Noir💎 :
duuh nmasikitikoo🙌🙌🙌😱 mungu atuapushe kwey haya mambo 🙏
2026-11-19 17:05:53
5
Nayyad catering :
Allha Allha Allha
2026-11-19 17:14:14
4
Melania Mkumba :
mmmmm mimi hapo ndoa ndo imeishia hapo
2026-11-22 15:26:27
1
Jyi viva🥂💘 :
Salalato
2026-11-21 13:03:10
1
Abdul ally0 :
daaaah hii dunia inakoelekea [Broken heart]
2026-11-20 05:43:29
2
Feytham Maher :
kwakweli hayo ndio matupu kwenye maisha mm pia ndio ivyo ivyo tuu utakuta mtu hakuelewi ww hadi rafiki Ainslie kati kumbe wanakuchora tuu mm niliondoka Ata ushauri sijatafuta kwa watu
2026-11-20 03:53:14
2
Ñøbødy :
amuache tu kuajili ya Mungu na Mungu hatamuacha hiyo hiyo
2026-11-19 22:13:00
2
Mercy Pochi :
😭😭😭😭
DUNIA SIMAMA😭😭😭
2026-11-19 17:06:47
2
رقىة :
wailam wenzangu tusal san
2026-11-19 18:08:13
2
Aika Kulaya❤️💋 :
2026-11-19 18:31:35
1
jellove :
duuuh mimi hapo sikaiii maana hawez achaaa
2026-11-20 04:54:21
1
Nancy 😍 :
mapenzi yaendelee to
2026-11-20 03:29:55
1
Maina :
subahana Allah 🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲
2026-11-19 18:16:49
1
anitha😛🥰 :
jaman mm naogopa jaman vit ivi vinatisha san
2026-11-19 20:25:26
2
To see more videos from user @khaanmahaba, please go to the Tikwm
homepage.