@amfrankfrank_: Je, ulijua mwanzilishi wa kampuni anaweza kufukuzwa na kampuni yake mwenyewe? 😳 Nvidia, Apple, Uber… wote waliwahi kumwondoa founder wao. Lakini je, hii inawezekanaje? Katika video hii nimeeleza kwa urahisi: ✅ Jinsi shares zinavyopungua (dilution) ✅ Nguvu ya Board of Directors ✅ Kwa nini baadhi ya founders (kama Zuckerberg) hawawezi kufukuzwa kirahisi Hii ni hadithi ya nguvu, pesa, na udhibiti katika tech. Umewahi kufikiria kama ungekuwa founder, ungejihami vipi? 👇
Amfrankfrank
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 16:44:07 GMT
Music
Download
Comments
JG MEDICS | +255623463899 :
kwahyo unabaki kuwa na haki za founding na shares zako au wakikutimua ndo gudubye.?
2026-11-20 16:20:12
2
Zeymar Ai Filmmaker@ :
Daah, This system
2026-11-20 19:58:50
0
She thinks i care :
Microsoft pia
2026-11-20 07:23:51
0
Mr.Eze :
duh yaan unaacha kitu chako
2026-11-19 20:36:23
1
promax professor :
inazingua video hauwezi isave kwenye simu,weka save iwe OPEN ☺️☺️
2026-11-20 09:52:39
1
mere MBM :
ahsantee
2026-11-20 12:21:25
1
Wamuhira AI :
Kazi nzuri
2026-11-19 20:36:31
1
Might.be.richie :
CEO anayefuata atakiwa ni
IAN BUCK
2026-11-20 20:11:43
0
JAFFE NYAMA CHOMA :
safi
2026-11-20 18:00:29
0
zunasports_ :
unafanya njia gani ili kuwa na sehem kubwa ya kura japo kuwa baadhi ya shares za kampuni umeshauza?
2026-11-20 06:49:26
0
To see more videos from user @amfrankfrank_, please go to the Tikwm
homepage.