@deewaynetz: #streetwear #fashion #outfit #fypシ

Dee Wayne
Dee Wayne
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 17:04:20 GMT
94271
7002
577
275

Music

Download

Comments

drb1620
Dr.B :
Vipi kuhusu lile ombi langu lakuniblock?
2026-11-19 19:03:34
182
mucream4
MUCREAM :
watu wengi wakina nani
2026-11-19 18:19:10
248
ramxey68
Ramxey :
Ndoto ya kila mwanamke
2026-11-19 17:12:45
42
gomes57834
Gomes🫡🤔 :
Aya saw
2026-11-20 11:45:12
25
sabrina.isack6
Sabrina Isack :
umenenepa mashallah😅
2026-11-20 17:12:41
0
jabiry2025
JERY :
bro nibrock 😅
2026-11-20 15:55:56
0
adorable_mih22
Adorable_22 :
Let’s go… where are we going?
2026-11-20 13:19:22
0
mrnas619
Ahmed :
bro angalia usije ukaleft......
2026-11-20 13:45:14
0
badru_betting_tips
@Badru :
ikifika 1M mnishutue
2026-11-19 17:10:48
38
maahjolly5
Ms Sagittarius ♐️ :
umefanana na s2kizzy😁
2026-11-20 07:34:25
9
abrah56tz.8
abrah🪶👑 :
kampe ngoma nagwa ivoo
2026-11-20 12:08:48
7
abdallahaliakida
Abdallahali Akida :
hii nhi gani jaman[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-20 05:58:57
0
ashraph421
Ashraph42 :
Jamaa et liko serious kabsaa
2026-11-20 07:20:27
1
phiyyah_smile
phiyyah smile❤💋 :
hii nchi bola iuzwe kila mtu apewe ela yake
2026-11-19 20:44:46
28
golden52478
golden one ✨ :
tuko pamoj mpka ufike mirembe[Pray]
2026-11-19 22:37:35
11
mushauri.wa.rais
mushauri wa rais :
which country is this?
2026-11-19 20:34:45
5
janja.kevo
I m omary s sister :
samahani ile nmejikuta nacheka kwa nguvu ila umependeza😂😂
2026-11-19 17:11:49
10
nasra_mushi
Naah12 :
mi sijawahi kukutana navyo
2026-11-19 17:42:27
10
robart.mpota
@~Röbãrt Mpôtå✅ :
umasikini mbaya jamani tupambane pia tujitaidi kusapotiana bega kwa bega 💯💯🤕🥹🤔
2026-11-19 17:52:12
8
ruthlinaeliah240
Teejal🩵 :
kwenye ao watu me nitoe 😁😁 kwakwelii 🙌
2026-11-19 17:08:04
6
user2452617515833
baby cauthar :
dah haya bei gani nataka mume wangu avaye
2026-11-20 11:04:34
0
bossyangu
Boss Yangu :
Kwani Jamuhuri si ya muungano tena
2026-11-20 08:42:09
0
djkidd01
djkidd01 :
Kwani wanyamwezi ni kabila gani??
2026-11-19 22:15:08
2
kingchaga07
KING CHAGA 👑👑👑 :
iv napataje kwa ajili ya baba mkwe wangu asije kufa bila kuvaa viatu ivyoo 😂
2026-11-20 16:55:39
1
kendrick.joseph.ch
kendrick :
sisi wanyamwez simaanish kabila.atuvai ivo viatu sisi nimwendo wa air max air Jordan1,3,4,11 na kuendelea Airforce1... navngne vya.....
2026-11-20 16:04:25
1
To see more videos from user @deewaynetz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About