@mkakamweus2: Mchungaji mmoja mkoani morogoro amemfumania mkewe akiwa na mwanaume mmoja aitwaye Daniel ambaye ni muumini Kanisani kwake. Katika fumanizi hilo lililo tokea usiku wa Manane, mchungaji ame Mtaja mkewe Kwa jina la Edna huku mwanaume aliye kuwa naye akiitwa Daniel, mbali na Daniel kuwa muunini wa Kanisa hilo pia alikuwa kiongozi. Mchungaji ameamua kuwafungisha ndoa Daniel pamoja na Edna usiku huo huo huku akisema haoni sababu ya kuendelea na mkewe. Pia inasemekana Daniel ni muumini wa Gwajima huko Dar es Salaam ila alienda morogoro kiutafutaji tu wa maisha. Video ipo kwenye comment #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights

mkakamweusi2
mkakamweusi2
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 17:06:07 GMT
31685
936
52
43

Music

Download

Comments

rosesilem4
🌹🌹 mtoto wa Yesu :
acheni kuzalilishana , huu ni ushamba, acheni kunufaisha watu mkikoseana malizeni wenyewe
2026-11-19 18:53:34
8
jacklinamoni5
jackiln :
kwani kuna shida gani wakati anahudumia waumini wake
2026-11-20 05:08:53
3
bahatistephen531
Bahati Stephen :
ila kwavile n mchungaj ungemsamehe mkeo mpe nafas tena
2026-11-19 17:51:53
6
japhethskweya
Omomura omoremu :
let them marry
2026-11-19 18:51:34
0
emiritumaini
Emiri Tumaini :
dah inauma kwer mchungaj poren hata mimi yarinikuta juzi mke wang nirimufumania
2026-11-19 19:09:47
0
user9557423039878
user9557423039878 :
safi sanaaaa
2026-11-20 03:43:34
1
mjaabdillah0
Mja Abdillah :
lete maneno pastor uko sawa kabisa ,Kwa maamuzi Yako
2026-11-20 07:16:00
0
upendo.visual
Upendo visual :
yaani huyu ma mchungaji hamn tusimlaumu kuna mda hawa wachungaj wakiwa kwenye maombi ya mfungo hua hawataki kabisa wake zaoooo jaman 🙌🙌🙌🙌🙌
2026-11-19 20:05:06
3
roseouma756
rose :
cha ajabu n kipi sasa
2026-11-20 06:19:13
0
gloryswai42
user7529299295870 :
Nexst
2026-11-20 05:48:07
0
user7237231454423
user7237231454423 :
my god hii imekaaje jameni
2026-11-20 05:42:58
0
sarah.safari91
Sarah Safari :
sahv Dunia mambo ni humu2 had kieleweke
2026-11-20 04:47:04
0
user1678624468307
elias :
hiyo mbaya hiyo
2026-11-19 17:17:41
1
user5943508428125
mama mitindo vijora 🥰🥰🥰 :
kweli Dunia Haina huruma🤣🤣🤣
2026-11-19 17:31:24
1
faustambuya586
fausta mbuya :
mm
2026-11-19 17:12:00
0
small.fighter7
kijana Mdogo@👑👑🎩🎩 :
kwel Dunia haina huruma, ila kwa tukio kama hili sion sababu ya kusamehe kwan maumivu ya moyo ni makal mno hauwez kulinganisha na maaumivu yeyote dunian
2026-11-19 19:31:53
0
sangasanga70
Mwana wa Sanga :
da
2026-11-19 20:07:05
0
usercoronelius1
usercoronelius1 :
Wananida
2026-11-19 20:32:01
0
kisage00
kisage :
kumbe mmejua leo
2026-11-19 18:56:54
0
omarysaidyathuman
Omary :
Umefanya vizur san
2026-11-19 18:17:19
0
sandeherieth3
wasande 💝 :
safi kabisa si wameona wanapendana yan ndoa za skuhizi Mungu aturehemu na wanawake tumekosa misimamo sema hatujui behind the scene
2026-11-20 07:33:45
1
johnsaid13
John said :
duuuh Noma sana
2026-11-19 19:59:34
0
user5893707415643
kk :
hayo ndo mambo sasa
2026-11-19 18:57:02
0
nuru.paul8
Nuru paul :
duuuu
2026-11-19 19:27:10
0
user3266797169032
Emanuel :
pol
2026-11-19 19:57:13
0
To see more videos from user @mkakamweus2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About