@uhondo.tv: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amesema mwanaume anaposaidiwa mara nyingi husaidiwa kimya kimya, lakini anapofanikiwa au kutimiza wajibu wake, huheshimiwa hadharani. Akizungumza katika hafla na midahalo mbalimbali ya kijamii na kielimu mkoani Iringa, Kheri ameeleza umuhimu wa kutambua mchango wa wanaume katika jamii na kuwajengea mazingira ya kuthaminiwa, huku akisisitiza umuhimu wa kusaidiana na kuheshimiana. #UhondoTVUPDATES
Uhondo TV
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 17:12:59 GMT
Music
Download
Comments
Fort :
well said mh
2026-11-19 18:33:37
3
lady Tina :
Iringa tuna Mkuu wa mkoa mwenye akili kubwa sanaa
2026-11-19 18:52:48
5
亚西尔 :
sio wa sasa mkuu
2026-11-19 18:03:11
8
The icon :
Unahuzulia vikao vyetu
2026-11-19 18:35:54
3
Hawa shoo :
Hi aina come back🔥🔥🔥❤️
2026-11-19 19:24:40
0
gidioninanyaro :
nakukubali sana kiongoz Mungu akutunze sana
2026-11-19 18:48:40
2
SHARJAH FARMS TZ :
huyu twamuomba rais atuletee awe mkuu wa mkoa wa Dar
2026-11-19 18:55:02
2
MATHS :
Mkuu uendelee kuwa mwenyekiti vikao vijavyo
2026-11-19 18:12:24
3
sambason :
Mkwamisii mwegale Sanaa wina luhala Sanaa mtwaa🤝
2026-11-19 19:16:36
0
farajibuteta :
@well said
2026-11-19 19:25:45
0
Alex Mahenge Online Tv - Am Tv :
woow Hii imekaa vema saana
2026-11-19 19:18:49
0
Miss Rey⛱️ :
Uyu RC alikua wapi mbon mi ndio kwanza namuona🔥🔥🥰🥰
2026-11-19 19:25:11
0
adolfrida mulokozi :
Absolutely 💯
2026-11-19 18:54:49
1
blastboy24 :
Big mind
2026-11-19 19:04:15
0
oscar :
HUYU NDIYE MWENYEKITI WA KIKAO CHA WANAUME
2026-11-19 18:59:13
0
user24024190945116 :
Sahihi kabisa 💯 ✅✅✅✅✅✅
2026-11-19 19:23:00
0
KEMA👑💯 :
Hakikaa 📌📌📌
2026-11-19 19:19:14
0
Neda Donald :
😂😂kbx
2026-11-19 19:12:49
0
understatement :
Mkuu umepita bila kupingwa
2026-11-19 19:15:07
1
Rupia welding fabrication :
Kitchen party bila vyombo... 😂 😂 😂 😂
2026-11-19 19:08:31
1
user3557114491912 :
kwan nanyie mnapewaga
2026-11-19 18:42:52
1
anu :
kumbe wee. umeridhika
2026-11-19 17:20:00
1
Kohera N :
pole kaka siku hizi ukiteleza kiuchumi kidogo utatii 🤣🤣🤣🤣 muombe mungu sana
2026-11-19 18:58:51
0
Mr Travel 🚛🚦🛣📵🇰🇪🇹🇿🇿🇲 :
🫡🫡🫡
2026-11-19 18:12:07
2
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.