mungu nilindie Mzee wangu ipo siku atachange I believe in God help me
2026-11-23 02:57:11
0
mom pemajr😍 :
R.I.P baba
2026-11-23 03:28:37
0
shamylucky😘 :
niache nilie kwanza 🥺🥺🥺🥺. kiukweli uwongo ndio siwezi, kuheshimu mtu ambae alinitelekeza kwa miaka 28. akasema mimi ni mbwa tuu nikikua nitamtafutaa, nikapambaniwa huko umamanii mapaka nilipo fika hapa nina shilingi 100 yangu, saivi ndio nimekua mzuri kwake ni simu kila mara na akipiga anataka pesa tuu wala siyo kujua naishi vip. aloooohh tukutane mbinguni
2026-11-20 08:24:31
12
Grace Karata :
Mungu azidi kumpa Baba angu maisha marefu
2026-11-21 05:59:04
14
hazard_9080 :
reality
2026-11-22 21:16:40
0
꧁𝓜𝓼 𝓣𝓲𝓹꧂🦋🌸 :
Kuna mimi natamani baba angekuwepo nahisi ningekuwa mbali sana🥺😭💔
2026-11-23 18:18:39
1
Sophia Mathias :
mi Wangu alinitelekeza nikiwa mdogo sana, hajui nilisoma vipi, niliiishi vipi, mpka kufika hapa nilipo, lakini sina noma naye namuheshimu
2026-11-23 15:25:03
2
malikiaofficial :
Kwa hiloutanisamehe siwez 😏
2026-11-22 13:49:36
0
Rukia ❤️😍 :
Mungu nilindie baba ang[Pray]
2026-11-21 17:42:31
5
Veeyasinta :
Shida ni kunitambulisha wamama wapya kila siku nachoka mm
2026-11-21 12:00:01
7
🦋🎀UMMU_YUMNAH🦋💦 :
yupo ila hANa time na mie tang alivyokataa miez miwili 2mboni
2026-11-22 20:46:57
0
Peter__ :
Continue rest in peace father 🥹
2026-11-21 19:26:39
3
Namanda🦋🤎 :
Baba angu nampendaaaa
2026-11-22 05:04:48
3
ika_collection0 :
Mungu ailaze roho yako mahali pema pepon Dad
2026-11-23 07:17:10
1
Oliver decorations :
mungu amulinde bab
2026-11-22 20:16:34
1
maggie :
Mungu akuweke mzee wangu
2026-11-20 07:52:49
6
Queen👸♥️ :
nampenda sana baba yang🥰
2026-11-20 21:09:02
4
@Madison Tz🇹🇿 :
Katika Maisha Yangu yote siwezi Kumdharau Mzazi Wangu Hata kama Amenitendea Ubaya kiasi Gani Siwezi notabaki Kumpenda mpaka nakufa
2026-11-21 15:42:05
3
Father :
2026-11-22 18:39:07
1
Zainabu Shoo :
Pumzika kwa amani Baba yang😭😭😭
2026-11-21 17:14:06
2
MARY MOLLE :
ishi milele uko uliko Baba yangu
2026-11-22 21:12:53
1
Trish richard :
Rest in peace mzee wangu
2026-11-23 16:30:24
1
Grace Kiriani :
ila wanazinguwa sana wababa jamani kama baba yangu nilimweshimu na hatakama akiumwa nilikuwa naumia ila sasa ivi loo sina muda nae kabisa
2026-11-21 20:44:54
1
BIANCA BEBY🌹💕 :
Kuna wazazii wanazingua aisee yoooo😌
2026-11-21 08:29:32
3
Vera yvone :
Kweli kbsaah
2026-11-21 18:15:14
1
To see more videos from user @billydickmtalemwa, please go to the Tikwm
homepage.