@mjengwa.digital: Uzinduzi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) vilivyoboreshwa uliofanyika jana, Jumatano Novemba 18, 2026, katika eneo la Maili Moja, Kibaha mkoani Pwani, umeacha gumzo baada ya roboti kutumika kumkabidhi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, Kitambulisho cha Taifa. Dkt. Mwigulu ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo, alipokea kitambulisho hicho kupitia roboti hilo lililokuwa likifanya kazi ya kukifikisha kwa mgeni rasmi, tukio lililokuwa miongoni mwa vivutio vikubwa vya uzinduzi huo. Matumizi ya roboti katika hafla hiyo yameonesha namna teknolojia inavyozidi kupewa nafasi katika utoaji wa huduma nchini, huku uzinduzi wa vitambulisho vilivyoboreshwa ukiwa ni hatua nyingine katika kuboresha mifumo ya utambuzi na utambulisho wa wananchi wa Tanzania. #MjengwaDigitalUpdates

Mjengwa Digital
Mjengwa Digital
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 17:23:03 GMT
72696
2077
337
182

Music

Download

Comments

joe_wild_man
John chikawe :
Nida ni nzito mbona robot amechoka
2026-11-19 22:40:18
90
user6385006085550
GLADYSTONEY G MARO :
naomba kujua bajet ya thamani ya roboti. 😃😃😃
2026-11-20 06:58:46
29
ibrahim.yassin13
Ibrahim Yassin :
robot made from TZ au
2026-11-20 13:47:30
0
mr.mjeda0
Pastory Fausta :
Kwahiyo hilo yaani [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-20 08:04:26
0
ney84087
Merci💋💋 :
mtupe sie kazi sasaa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-20 12:55:33
0
user72207463425187bby
martha abogasti 🌺 :
atembee arakaaraka bwana me nina kazi za kufanya
2026-11-20 06:18:07
20
madaraka.kienula
Madaraka Kienula :
fanyeni vitu vya kisasa sio kitambulisho kinachorwa na kalam ukiweka kwenye waleti kinafutika
2026-11-20 11:14:26
11
2012hali
HALEE 👸 :
yan ungekuta ndo ajira yangu hyo.....Roboti ndo kashaichukua [Tears of joy]
2026-11-20 11:50:40
8
user65469661366541
Melissa :
sasa mngenipa hiyo ajira ya robot, shida Iko wap?😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-20 07:58:54
6
bahatimwalisu508
b mwalisu :
tumekwishaaaaa
2026-11-20 11:35:21
0
samwelsimon001
FATHER :
hii nchi inachezewa sana
2026-11-20 06:18:30
10
2014dori
Odo Ester :
sijui kwann nahisi kucheka kwa sauti 😅
2026-11-20 19:37:37
3
amosnyamaka
Amos 🔥🔥 :
ndo Kaz Sasa hv imebakia kufanya vitu vya hovyo na sio maendeleo ya watu
2026-11-20 12:06:22
5
user3465928309009
saini7580 :
kwani angeleta mtu asingefikisha mpaka robot. hii nchi hii🤔
2026-11-20 17:04:49
0
asia.said866
Asia Said :
nachoka
2026-11-20 07:25:46
0
poulsenvaezypoane
poulsen vaezypoane :
sophia kaishia wapi
2026-11-20 19:38:21
1
amirij63
Janeth🥰 :
ila hii nchi ni kama yavichekesho😂😂😂
2026-11-20 21:04:02
1
ivonnyinocent1
Miss ivvonny💝❤️ :
Shida sio kitambulisho shida kuweka picha ya rais😔😔😔🙌
2026-11-20 19:22:02
1
user4265312935694
user4265312935694 :
nilijua tu nitacheka😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
2026-11-20 19:13:39
1
john_tz0
CHiEF⛎ :
Tanganyika bora tuungane na kenya tuite tekenyaneni au tawanyikeni😂
2026-11-20 18:45:27
2
lovenessmeshack69
Andness :
aibu naona mimi
2026-11-20 20:09:13
1
mr.mol7
Mr mol :
kitambulisho kimefika
2026-11-20 21:01:57
1
user18488674270593
Janeth :
hili ni tatizo rohon lak watu wanashangilia
2026-11-20 16:17:28
2
rayhan_afya_tips
rayhana-afya-tips :
nilikua bize sana kuangalia robot,,hili robot nimegundua Lina nyanyaswa Kisa nifupi,,,halafu nidhaifu sana
2026-11-20 11:21:30
4
dorice281
dorice281 :
Mpka bongo tumefikwa tumekwisha walahi 😂😂😂😂
2026-11-20 11:53:29
4
To see more videos from user @mjengwa.digital, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About