@mudi_lacunta: #zanzibar #zanzibartiktok #tanzaniatiktok #lacunta #zanzibarlife

LACUNTA
LACUNTA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 17:28:19 GMT
12436
589
187
73

Music

Download

Comments

aziza44033
Aziza :
alhamdulilah[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-11-20 09:06:57
0
laty7727
laty :
mwenyez mungu atujalie mwisho mwema
2026-11-20 03:22:36
11
ageza.juma
ageza juma :
asante ✌️✌️✌️
2026-11-20 08:33:03
0
mayramkassim1
Mayramkassim😍 :
basi watasema watoto wa elfu 2000 hatujatumia izi pesa wakati nilikua nikienda chuoni napewa tsh 20 napata ubuyu na njugu😂😂😂
2026-11-19 20:23:49
6
onlyo614
maryam :
nashkur kipenzi cjui ww unaendeleaje 😂😂
2026-11-19 18:34:47
1
khadijahassan5309
khadija :
wazee wa90 tupo[Tears of joy]
2026-11-20 05:33:45
1
bint.yke.baba
bint yke baba🥰 :
hata siendelei mzee mwenzangu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-20 02:05:02
0
user3932039101072
nasra💓 :
tupo lele lele 😂
2026-11-20 06:31:57
0
sheko4760
mudiru 💕 :
Niko pow
2026-11-20 05:03:43
0
asma.dida1
Asma dida :
wahenga tujuane enzi izo unapewa ishirini mbili na kumi moja,, school ya fuoni tunakula makachori😂
2026-11-19 19:29:33
1
ddija4
ddija :
nashukulu mungu sijui ww
2026-11-20 08:23:59
1
ummyrumaysa3
ummy rumaysa :
nilikua napewa sh kumi ya kutumia darasa la kwanza 😁 tena mm nd nilikuaga wa kishua
2026-11-20 08:43:13
2
ramadhan.chef
ramadhan chef :
Alhamdulila
2026-11-20 08:49:22
1
official_mamu5
Official_mamu :
salama zakwako
2026-11-20 06:54:34
1
user1493093587692
aziza ally :
ooooh jaman mpaka nazimiss mm
2026-11-20 06:24:06
1
shurafaa8
shurafaa :
zilipo tangaziwa hazitotumika tena niliumia 😁😁😁😁😁maaana nyumbni nikipewa shiling 10 au 5 😁😁😁
2026-11-20 12:26:02
1
ummy.falhad
Ummy Falhad :
alhamdulilah
2026-11-20 08:40:15
1
mimi.mm87
Khadija Makame :
alhamdullilah
2026-11-20 00:38:51
1
user1448019784843
user1448019784843 :
alhamdulillah.
2026-11-20 03:28:38
1
user79211269732507
tunu :
dahhhhhh
2026-11-20 08:52:25
1
best.hair.growth
Best hair Growth :
Yaaaan
2026-11-20 05:13:54
1
tanyamohd561
Tanya Mohd :
Alhamdulillah naendelea vzr vp na ww ndugu?
2026-11-20 07:49:05
1
asha.a.abdalla
ASHA a ABDALLA :
salama kipenz mim nikua napewa sh 20 kutumia shule kutwa nzma na hapo nilkua na enjoy scream sh 5 kumi na Tano kula
2026-11-20 07:01:46
4
aisha.mwasilaha2
Aisha mwasilaha :
nipo 38 yrs now na sijaolewa ni huzuni yaani dakika za jioooooooni.
2026-11-20 07:35:20
0
abdallaah05
abdallaah :
bado cjafa
2026-11-20 06:37:44
1
To see more videos from user @mudi_lacunta, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About