Huyo mkali ni mimi kabisaa wadogo zangu wananielewa uzur kabisaa nikiingia nyumban 2 wote wanatumika😅bila hata kulalamika mm siombi mtoto mara 3 ata kdg mama anaelewa uzuri sana
2026-11-19 19:27:25
27
angel mchina3083114444146 :
binti yangu ana mia 10 anapika mpaka wali wanazi mbonga nazi na vizuri ana fanya kazi za nyumbani zote kitanda anatandika yani very my daughter
2026-11-20 04:11:39
13
ernestmkwizu196 :
ingali (Angali)🤔
2026-11-19 19:01:49
4
@miss phinaofficial :
umemwambiy ukweli
2026-11-19 20:10:11
2
neemasilvester523 :
Mimi wananiitaga mwanajeshi amri moja maisha ya kijeshi jeshi ndo yapo nyumbani kwangu
2026-11-20 04:46:57
2
salmat mziray :
huyo kev niletee mm huku
2026-11-20 03:48:59
7
Edina Zawadi :
hayo malezi jaman n mabaya sana
2026-11-20 05:51:12
1
defrine :
sina mtt wa kujaribu hat kunijibu wananijua,usilee mtt ivo kuna leo n kesho
2026-11-20 05:12:29
1
Charity 💕🌹 :
Me ndyo uyo mama apo nyuma 🤣🤣🤣 nahasiraaaaaaaa
2026-11-20 06:42:39
0
Jesca Christopher :
Ila pia naupeo wa mtt mwingine unamkunja hakunjiki tufanyeje
2026-11-20 06:22:04
0
angel dotto :
weeeeeh labda sio wa mimi
2026-11-19 20:53:06
2
Marietta Josephath :
mimi siitagi mtoto mara 2
2026-11-20 06:35:14
0
Cathe :
kweli dada
2026-11-19 22:42:11
1
Vicky Michael :
cna mtoto lkn natamani kuwa mama mkali kama huyo dada bongee
2026-11-20 06:31:56
0
chichiactress2026 :
Watt wa mama
2026-11-20 06:23:02
0
mama Nelly :
heeee mimi nisha enda jela tayari😂😂😂😂
2026-11-20 06:23:05
0
Mary Cute :
kweli kabisa
2026-11-20 05:46:59
0
Natacha tshamala :
la suite
2026-11-20 04:07:23
0
Miracle of beauty :
😁😁😁 syo kwanguu weweee
2026-11-20 05:42:27
0
Nikester💝🥀🌹🏵🌺 :
kwel kbs
2026-11-20 05:07:41
0
solar power :
enzizetu unadekezwa ivo
2026-11-20 04:58:21
0
F@miss loyality :
Wanileteee Mimi Huyo 😂😂😂😂😂😂atakuwa akija anakusalimia muda wote
2026-11-20 06:57:44
0
Mr empty :
ulivyoita nimeshituka nikazani umeiona daaah[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-20 04:55:17
0
K cuty 💗 :
Kabs yaaan m ningemlamba kibao
2026-11-19 20:25:32
4
Jj De Jr :
Namuomba kev jmn mikon inaniwasha😂😂😂😂
2026-11-20 04:20:37
2
To see more videos from user @rosealibnusi, please go to the Tikwm
homepage.