Sio mchawi msipate laana za bure😭😭😭 Umri huo wanachanganyikiwa hawaelewi kitu. Sisi bibi yetu alikuwa anatoroka hivohivo na hajui anaenda wapi bahati nzuri alikuwa anafahamika. Sio kila bibi ni mchawi😭😭
2026-11-20 10:40:38
32
Daz mama :
Kuna wengine wanapoteza tu kumbukumbu jamani
2026-11-20 10:57:27
6
My chunoni☘🍂 :
sio mchawi jamaniii ambao tumekaa na wazee wa hivi tunaelewa changamoto zao sio vizurii
2026-11-20 07:47:05
52
✍️mom daniel :
mungu naomb unijalie mwisho mwena nkizeeka nsiitwe mchawi
2026-11-20 05:06:34
53
Isher❤😘 :
nikisemaga kuna watu wana roho mbaya muwe mnaelewa angekuwa mama ako afanyiwe hivi mngecheka hivo
2026-11-20 07:26:03
6
MTINGA Tz🇹🇿 :
jamani siyo kila bibi nimchawi
2026-11-19 21:09:42
24
Breenah :
Nikizeeka na mimi ipo siku nitaitwa mchawi
2026-11-20 07:20:52
9
MARIAMU Solomons :
munavyo mucheka hamujuwi je kama diye mungu mwenyewe llawanadamu
sio mchawi huyo jmn anachangamoto zake tu...acheni roho mbaya kaahh😢
2026-11-20 06:21:09
19
Fey Hazard :
huyo bibi amepotea tu
2026-11-20 11:50:31
0
Mary Charles🍎 :
ukute ndo Mungu kaja Kwa njia hiyo ila Hawa wanafamilia tuwape pole, badala ya kumsaidia wanamchangia kumtukukana
2026-11-20 08:20:44
4
cuterene :
mi baba aliwahi kupotea tukamkuta mbali kwa watu hata aelewi kafikaje hawa wazee wetu wakifikia umri fulani inakuwa ni changamoto kubwa wanapoteza kumbukumbu na wala hawakumbuki baadhi ya mambo
2026-11-20 09:13:01
7
mrs abillah :
walalaana hawa
2026-11-20 12:05:28
1
Gift Gift :
duh badala ya kumsaidia mnampost kumzalilisha sijui binadamu tumekuwaje sikuiz mnampost kutafuta like
2026-11-20 06:24:18
1
Husnaty Mr T :
mwenye zimungu awalaani na awape umri mrefu zaidi ya uo wa bibi nanyi muje kunyanyasika
2026-11-20 05:59:15
6
officialbricent :
Defamation 😑😑
2026-11-20 08:22:23
0
Agent Emmanuel Bembe :
Msifanye hivyo jamani sio vizuri wazee kama hawa ni baraka mbele ya mwenyezi Mungu
2026-11-20 05:21:35
9
lette paula :
😭😭😭 bibi yangu maskini alikua na tatizo la kupoteza kumbukumbu, kuna siku wakamwita mchawi kisa alikosea nyumba wakampigaa nyie nyiee hawa wazee wengi maskini hata sio wachawi ila wana chngamotoo nikikumbuka naliaaa😭😭😭
2026-11-20 09:30:35
3
reen 06 :
yan mtu asilale..??
2026-11-20 05:30:15
4
usernaomilyimo :
Watu wanapoteza kumbukumbu kuweni na Imani
2026-11-20 11:41:49
2
user1630455546081 sada chuma :
jamani mna roho mbaya Wallahi mung anawaona simpeleke kwa mwenyekiti
2026-11-20 11:16:49
1
Maggie254 :
Sina nyanya ila sio vizuri jamani😳😳
2026-11-20 12:23:47
1
FUNDI÷ GYPSUM BOARD !! RANGI :
Waebrania 13:2
Msisahau kuwafadhili wageni, mana kwa njia hiiwengine wamewakaribisha malaika pasipo kujuwa.
Be not forgetful to entertain strangers : for thereby some have entertained angels unawares.
"Ujumbe wangu !! Sikunyingine ukikutana najambo kama hili usi record hata kulekodi muhoji kwa utalatibu mtu huijuwi kesho ndugu acha mungu aitwe mungu". Imagine huyu ni Bibi yako .
2026-11-20 10:31:01
1
To see more videos from user @judithbukelebe926, please go to the Tikwm
homepage.