apo anamwabia asimame bibi naye akamjibu nitabaki uchiiiii ilaa inasikitisha jamani me nilishndwa kuendelea kuanglia😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💔
2026-11-20 11:04:37
7
Galgalo :
mnitume please🤣
2026-11-22 12:13:46
0
kenny fine tz5 :
Tunazo bhana 😁
2026-11-20 13:38:54
6
Baby girl🩷 :
ila anachekesha ikiwa sio ndugu au mzazi haya maumivu watoto na ndugu ndio wanaelewa
2026-11-20 12:42:56
11
Grace :
Habari,acha siku ya leo kwako ikawe siku ya furaha na mafanikio ,Mungu akakujalie haja ya moyo wako,.kwakua Yesu anakupenda sana na alikufa kwaajili yako mtwike yeye fadhaa zako zote usibebe matatizo yako kabisa ishi furaha na amani mpendwa.kama bado hujampokea Yesu sema maneno yafuatayo Bwana Yesu nakupenda karibu moyoni mwangu,ukawe Bwana na mwokozi pekee wa maisha yangu,nimeamini ulikufa na kufufuka kwaajili yangu unisamehe dhambi zangu zote.utakua umeshampokea Yesu.bila Yesu rafiki yangu hutaingia mbinguni usiogope kabisa huo ni ukweli.nenda kwenye makanisa yaliyo karibu ya kipentecoste uwaambie kua umempokea Yesu watakusaidia.amina.
2026-11-21 06:06:58
8
riah_fresh_juice :
pole mamaangu kwa fezeha unayopitia nikipindi kigumu sana kwako na family 👪yote[Crying]
2026-11-20 10:46:39
5
##amina awaz# :
sikuizi😁amna bibi wala nanii
2026-11-20 18:56:56
9
fearless ❤️💞 :
naskia amekufa au ni uongo
2026-11-21 00:41:52
31
Binti Oshy :
Shosh alikua anasikia smarta
Mm hapa😔🤣🤣🙈
2026-11-21 17:39:45
5
To see more videos from user @user4666066530311, please go to the Tikwm
homepage.