@theonehimself_1: #pirloquotes #mapenzi #swahiliquotes

the one himself 🥀🕊️🥹💕
the one himself 🥀🕊️🥹💕
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 19:09:55 GMT
30996
2687
66
164

Music

Download

Comments

shadia.yunusu
shadia yunusu :
wanatusahau msitufariji mi
2026-11-22 13:37:09
7
hawa.cannal
Hawa cannal :
wakipata wanatuona sio level zao😢😢
2026-11-20 09:11:20
12
prettyayder002
💎🌹 :
wana levo zao bwanaaaa😁😁😁
2026-11-20 17:47:25
4
aem.nadya
🦋🦋~Nadya Love~🦋🦋 :
Nakataaa
2026-11-21 16:20:24
3
reynashyaa
reynashya💞 :
wanatusahau vzur tu usitupe moyo bhna wee
2026-11-24 07:41:20
1
modibaaaaa
aphiwe modiba :
sahihi
2026-11-22 11:24:02
2
muayrah12
🦋muayrah🦋 :
mbona me kanisahau🥺
2026-11-21 14:52:12
4
rehema.patrick37
Rehema Patrick :
mmmh akipata anasahau kabisa anakuona kama sichochote kile kwake
2026-11-23 04:37:59
1
shinuynah
Quenthia💋💕 :
kanisahau kabsa😂 ata nikimpigia anaulza wewe nani woiii😁
2026-11-23 06:47:33
1
user1124082465740
b :
daah 🥹🥹 exactly 💯
2026-11-21 20:47:18
2
theonehimself_1
the one himself 🥀🕊️🥹💕 :
Siku ukiwa na kila kitu, mkumbuke yule aliyekuwa na wewe wakati huna chochote. upendo wa kweli haupaswi kusahaulika ❤️🥺🥀
2026-11-19 19:15:03
0
user2218391357021
kim crishaz 💞🍓🦋 :
yuko na mtoto wa chuo nipo kuhangaika na mtt wake
2026-11-21 11:11:34
3
da.keppy
da keppy🥰🥰 :
mm kaxhaxahau
2026-11-20 08:53:27
2
salhashabani731
swallha :
Daaaa kweli kabixa🤣
2026-11-21 20:55:53
1
jannatabdallh36
Jannatabdallah :
uongo mtupu🤣🤣
2026-11-21 19:05:02
1
aihar91
AIHAR :
sas hiv unazn uoo moy wanautk hh ss hh
2026-11-20 18:23:21
1
iamually3
Young Hustler💪💯 :
Na huyo ndo mwanamke anaetafutwa na kila mwanaume na nindoto yakila mwanaume kua na mwanamke kama huyo🥰🥰🥰
2026-11-22 10:41:23
0
user1470498026118
Mr G :
fact
2026-11-20 18:49:02
1
user1111866985046
user1111866985046 :
hakika
2026-11-20 13:09:02
2
salmamwendo1
Salma mwendo :
kabisa
2026-11-23 14:20:00
1
mgwan424
🔥🔥🔥MGWAN 4 👑👑 :
iko saw [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-22 19:18:15
1
naitwa.suuh
@TheReaLSuzieh💋 :
nyie😔
2026-11-23 21:08:29
1
user2618708174223
Miss yamm :
Wakipata wanaanz kujion w juu sn kulik cc[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-11-20 11:58:47
1
sper.party
BABE D 🥰💦 :
wanasahu vzr sana siwezi mvumilia tena mwnaaume kwenye shida mimi hawana shukuran kabisa
2026-11-20 10:37:13
5
makanya_142
makanya :
dah,ndugu hivi una nini wewe,mbona hua unapiga kwenye mishono au,kosa langu kukufollow,😥😥😥
2026-11-21 19:12:44
1
To see more videos from user @theonehimself_1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About