@jamalabrar.23: When you step into that voting booth, remember: your vote is your voice, your power, and your community’s future. Don’t waste it! Vote for action, not promises. Vote for leaders who serve, not those who exploit. KUZE RECLAIMERS — OUR VOTE, OUR POWER, OUR FUTURE! #foryou #fyppppppppppppppppppppppp #fyp #fypシ゚viral #duet @Presenter Athman @Farid K @Kapelo
OLDTOWN KUZE RECLAIMERS
Region: KE
Thursday 19 November 2026 19:50:52 GMT
Music
Download
Comments
Abunaj@129 :
they should add "No Parking " manake barabara tuko nazo kubwa ila watu wamegeuza kuwa garage.
2026-11-20 06:35:03
1
Salim Swaleh :
onesha barabara zilizombovu kuwa muadilifu sisi tunatumia hizo barabara
2026-11-19 20:01:09
0
Kits :
why wait mpaka karibu na elections, mulikuwa wapi?
2026-11-20 12:37:16
1
Presenter Athman :
Fact 💯
2026-11-19 19:58:43
5
Aadil Usman :
kutoka jamatini, kutoka markiti mlango wa kuinama/family bank mpaka chini, hio junction kutoka salmanji kwenda mpaka msikiti konzi roads are still pathetic....
2026-11-20 17:51:22
0
Cleanheart_ Abdul :
hiyo ni haki yetu it's not a favor
2026-11-20 06:44:38
3
🚒🧑🚒 :
Sawa lkn abdulswamad hatumrudishii
2026-11-20 10:40:24
0
Maria :
Tuseme gari mbovu haina engine upige nje rangi ndo hizi Barabara mnao tengeneza
2026-11-19 21:44:40
4
Abu Mahmoud :
Two term
2026-11-20 04:34:38
1
saidjelani8 :
easy to say
2026-11-19 20:34:01
0
mama soniyaa 222 :
InshAllah
2026-11-19 21:03:11
0
bealwaykind :
We rest Mombasa
2026-11-20 06:12:06
0
shakillayusuf :
👀👀👀💯💯💯👀👀👀💯💯💯
2026-11-19 20:01:30
0
vista_boutique1 :
one term wote
2026-11-20 09:37:55
0
Salim Swaleh :
kama barabara moja yategenezwa baada miaka mitano tena ukifika msimu wa kura
2026-11-19 20:02:06
5
Salim Swaleh :
sass tuikoboe kutoka kwa nani?
2026-11-19 20:06:54
0
Salim Swaleh :
kura haileti maendeleo
2026-11-19 19:59:56
0
Alamin Somo :
KWELI YAKO BRO [Like][Like][Like][Fire][Fire][Fire]
2026-11-20 07:45:28
0
Salim Swaleh :
tuabie miaka mitano mulikuwa wapi
2026-11-19 20:02:38
0
GAZA🇵🇸 :
Sahi lazima watafanya kwa sababu wanataka lao 😏😏
2026-11-19 20:09:33
1
Salim Swaleh :
haya vichuzi ni wakati wenu basi jueni kutudaganya kama watoto
2026-11-19 20:08:18
0
Salim Swaleh :
IMEGHARIMU PESA NGAPI?
2026-11-19 20:18:53
1
omy boy :
tutam ASN Mpaka kieleweke
2026-11-20 03:20:39
0
500twenty9 :
2026-11-20 12:26:19
0
mariamabdalla663 :
fayaz bakery opposite ya kilifi corner wasomali wamejenga vibanda na wengine wameka creti za soda kwa parking ya kuweka magari hebu njooni mujione na macho yenu .imekuwa hatuwezi kuvuka tena.mombasa county wazunguke mombasa mzima kila anavunja sheria basi avunjiwa na walioishwe faini ya oesa ndio suluhu ipatikane.footh path zote zimechukuliwa wafanya biashara jee wakutembea miguu wako barabarani imekuwa hatari.plzz tuasa8dieni hapo pia.
2026-11-20 22:28:37
0
To see more videos from user @jamalabrar.23, please go to the Tikwm
homepage.