@focustvtz: RC Kheri James anasema wanaume wote Duniani hawapendi kelele na hawapendi kujieleza, ila wanajua kubembeleza. RC Kheri James ameyaeleza hayo wakati akizungumza kwenye Kongamano la Wanaume wa Mkoa wa Iringa katika kuadhimisha siku ya Wanaume Duniani, Novemba 19, 2026. #FocusTVTanzania
Focus TV Tanzania
Region: TZ
Thursday 19 November 2026 19:56:54 GMT
Music
Download
Comments
newfatma :
nasisi tunapenda kupiga kelele🤣
2026-11-19 21:20:20
2
Joh Electromechanics Engineer :
Hasa Wahehee
2026-11-19 20:48:49
1
BABA TRACY 🚦 :
Big yes😂
2026-11-19 21:26:58
0
PRINCE KIDS CORNER👶 :
km hupendi kelele usioe jmn😂
2026-11-19 21:36:06
0
Godwin PEng(T), FTC Civil :
Akili kubwa inaongea
2026-11-19 21:49:16
0
ms_G🧚♂️🧚♂️ :
niwewe wangu anapenda kujielezea atar
2026-11-19 21:38:48
0
Ms.dimples❣️ :
sio waha mheshimiwa😂
2026-11-19 21:51:13
0
Hekima :
Kuteteana tu[Innocent]
2026-11-19 20:46:35
0
sam wa pida :
akili kubwa
2026-11-19 21:25:49
0
seifsimbamashi :
kweli
2026-11-19 21:34:46
0
user7588748568131 :
nimekuelewa sana
2026-11-19 21:32:08
0
eliasmaganga :
sure
2026-11-19 21:25:33
0
user36124490295960 :
ila wanapenda kelele za bar
2026-11-19 21:10:14
2
Madam accessories🎧 :
Mpo kufundishana uongo
2026-11-19 21:19:36
0
Mom Rujayna26 :
Sasa watajieleza nini waongo awa
2026-11-19 20:04:15
0
Mr Videographer Dagea :
@MAGRETH ♥️🫂💍
2026-11-19 21:56:08
0
Bravegirl :
🤣🤣🤣
2026-11-19 21:27:47
0
Ashley Cosmetics96🌺 :
Wangu kaondokaaa na aendeeee atajijuaaa mwenyeweeee walaa sijaliiii na hajanikomoaaaa….@Becker Geuza utajijuaaa mwenyeweeee😂😂
2026-11-19 21:20:22
0
JengaSmart company 💯 :
💯💯📌
2026-11-19 21:30:00
0
mamy samira :
[Red heart]
2026-11-19 20:45:44
0
Mochaaaaaa :
😁😁😁
2026-11-19 21:55:10
0
user2026347586287 :
😳😳😳
2026-11-19 22:02:58
0
To see more videos from user @focustvtz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.