@tricial_beauty_point: Hii Biodance collagen deep mask ni moja kati ya mask nzuri sana na yenye matokeo halisi Inasaidia kujaza ngozi, kuondoa mikunjo (ant aging) na kufanya ngozi I glow vizuri sana Zipo kwa mawakala wetu wote Tsh 18,000/= kwa box lenye mask 4 Piga au wasap 0620 158 104 Ukihitaji kwa jumla nicheki nikupe bei #collagensleepingmask #overnightmask #antagingmask #glassskin #tricialtips