@methuselah.bimbig: Kama haya ni upepo wa machozi, basi gharika la furaha yako lije. Na kama hii ni mvua ya huzuni, basi uwe mwavuli wangu, Ee Mungu. Maana hata katikati ya dhoruba za maisha, uwepo wako ndio tumaini langu. 🙏❤️ #MunguNiTumaini #ImaniKwaMungu #GospelMessage #NeemaYaMungu #YesuNiMwema