tunaelewa tuliopitia ila bdo tunamwamin Mungu endelea kupambana Bella
2026-11-20 10:05:54
76
:
Na ndo maana siwezi tupa damu yangu ! Maana nyimbo kama hizi nitakapokua nazisikiya in future kama nita watenga ! Itakua na nichoma sana moyo ! One family one love
2026-11-20 22:56:38
14
:
iyo si majani ya viazi ama mimi ndo nimekosea😳😳
2026-11-20 15:45:19
7
:
Mungu mlinde Bela
2026-11-20 10:11:59
33
:
jamani naomba wote basi
2026-11-22 11:44:20
1
:
which country plz
2026-11-23 15:19:23
0
:
Maisha yangu kabsaaa haya 🥹🥹🥹💔💔😀nashukuru mungu kw hapa nilipo🙏🙏🧎♀️
2026-11-20 11:09:27
18
:
very nice
2026-11-22 16:44:27
0
:
mungu akulinde bella I love you bella
2026-11-20 15:17:07
2
:
wimbo huu nais nikwajili yangu jaman
2026-11-20 09:50:19
12
:
mungu akutie nguvu sanaa
2026-11-20 10:39:37
14
:
hogera mundogowangu muzuli unakipaji mungu akulinde
2026-11-20 09:59:26
9
:
Mungu akutangulie babby girl! Utafika mbali
2026-11-20 15:28:57
9
:
mungu akusaidie bella ufike mbali
2026-11-20 09:15:06
9
:
wimbo[Pray][Pray]
2026-11-20 20:27:37
1
:
🙏
2026-11-20 16:38:38
1
:
🥰
2026-11-20 20:41:44
1
:
amena
2026-11-20 16:24:14
2
:
mungu n baba kwa wasio baba,,
2026-11-21 06:37:49
0
:
amina
2026-11-20 19:10:54
1
:
hongera
2026-11-20 13:12:32
1
:
n🥰🥰🥰
2026-11-20 14:43:50
1
To see more videos from user @bellamagreth1, please go to the Tikwm
homepage.