@phoibe_mbaga: Tujifunze kulinda vinywa nyetu, Amani ni msingi wa upendo ndani ya ndoa💖 #ugandatiktok🇺🇬 #kenyantiktok🇰🇪 #tiktokcongolais🇨🇬🇨🇩 #tiktoktz🇹🇿🇹🇿 #fyppppppppppppppppppppppp
Ndo mimi @Phoibe Mbaga🇹🇿 niliacha pisi kali sana lakini sababu ilikua maneno ,ujaji ,ubabe niliondoka na vitambulisho mpaka leo analia nirudi
2026-11-20 08:16:20
0
Abdallah Mwasiho :
Mwanaume anasema hawezi kushika simu ya mke wake kwamba tutaachana endelea usishike ujue tu Bwana mwenzio ni huyo Toyo wake anae mbebaga😂😂 @Phoibe Mbaga🇹🇿 piga kazi dada
2026-11-20 08:27:47
0
To see more videos from user @phoibe_mbaga, please go to the Tikwm
homepage.