@cawabemedia_: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewataka wanaume kuwajibika katika malezi ya watoto wao na kutokubali kuwaachia wanawake pekee jukumu la kulea, akisisitiza umuhimu wa baba kushiriki kikamilifu katika malezi na mahitaji ya familia. Akizungumza katika Kongamano la Wanaume lililofanyika mkoani Iringa, Kheri amesema wanaume wanapaswa kutambua wajibu wao na kutekeleza majukumu ya kifamilia badala ya kutegemea kuletewa au kulelewa watoto wao na watu wengine. Amesisitiza kuwa malezi ya mtoto ni jukumu la wazazi wote wawili, hivyo wanaume wanapaswa kuwa sehemu ya kuhakikisha watoto wanapata mahitaji muhimu na malezi bora.

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 November 2026 06:45:02 GMT
178
5
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About