@jamiiforums: Kilimanjaro: Dereva wa Jeshi la Polisi, SSGT Hussein Rashid aliwaasa madereva wanafunzi wa jeshi hilo kuwajibika, kuwa na nidhamu, kuzingatia ubinadamu na kutoendeshwa na madaraka waliyonayo wanapokuwa barabarani akitolea mfano uzoefu wake wa kuwaendesha viongozi mbalimbali wa Jeshi la Polisi toka mwaka 1992 bila kupata ajali barabarani. Hussein aliyasema hayo Novemba 17, 2026 katika shule ya Polisi Moshi, kambi ya Kilelepori wakati wa mafunzo ya udereva yanayosimamiwa na VETA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi. Nini maoni yako? #JamiiForums #Utawala #Governance #Uwajibikaji
huyu jamaa kimwonekano tu anaoneka Kua ana roho ya utu🫡
2026-11-20 11:15:02
24
Wilfred Natai :
pamoja kamanda nimekuona ni wa tufauti sana kaka, sio askari tu kiongoz kuna vijana wetu tumewafundisha magari kitendo cha kupata kazi serikalin wamebadilika kaka, naomba uwe na kikao na madereva wote wa serikar wote uwape elimu kaka, tunayaona mengi ya magari ya serikali hatuna la kusema wala kufanya, big up kaka
2026-11-20 14:19:49
3
tellyemanuell :
kwamba Wana uwezo wa kumfanya raia chochote??? kumbe Sheria ya nchi inaruhusu askari kumfanyia raia lolote lile analotaka... hili jeshi letu linahitaji mabadiliko makubwa sana
2026-11-20 12:51:52
5
Lord of knowladge :
1992 to 2026 then SSGT licha ya elemu ....seenmore
2026-11-20 15:11:30
1
K.47 :
kweli wewe ndo askari mwenye akili na utafika mbali sana
2026-11-20 07:22:52
9
zumbe shauri shemshuza :
balikiwa kiongozi
2026-11-20 19:28:46
1
shukurueliaskilalwe :
uyu ni Binadam kabisa
2026-11-20 14:37:43
2
xaccitrap :
safi sana umetoa speech nzur kaka
2026-11-20 14:31:26
5
Jomba :
mng akulipe kaka kw hekma zako
2026-11-20 13:19:37
2
kz fainest :
vzur sana afande tuna jua kuna watakao kua na ubinadam nakuna watakao kua na loho mbaya mana loho mbaya hua haibad lik hata siku moja ila asante kwaku wapa somo mungu akusimamie