muhim niwe na nguvu zakume kwenye Walt hayo mengine utajuwa wew😁😁😁
2026-11-20 09:16:08
29
🖤El_hud🦂 :
wazanzibar hatun mda uo [Laugh approved][Broken heart]
2026-11-20 07:00:10
11
shaa :
kwann wazanzibar lkn
2026-11-20 17:33:30
2
Mr_Deen🪄 :
😂😂😂Naishiwa nguvu ata kujitetea agh 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
2026-11-21 05:48:29
3
zayb423 :
kwetu sisi tu ndo ajabu , ila wazungu wanasafiri navyo hasa mpaka huku wala hamna mtu kusema
2026-11-21 14:42:26
2
pretty gurl🌸💦 :
🤣🤣🤣huyo bwana angu kabisa
2026-11-20 08:23:51
4
khalid :
umetish broo
2026-11-20 17:43:24
0
Naomi Paschal :
hapo jambo
2026-11-20 10:23:34
2
Hajra Ramadhani :
nimecheka jamn😂😂😂😂 siwezi mimi kwa kwelii sijui huwa hawaon
2026-11-20 07:17:31
4
Nicolas :
ndio lakini tunakua na hela nyingi mbona ndio muhimu
2026-11-20 11:48:06
4
Jaymo Othman :
mi nishaingia gofu kwa anaepajua gofu zanzibar skukuu na kanzu ishafika saa 1 watu wanatoka mimi sijaoga nikaona nikienda kuoga saiv wazee wataleta mizozo oya wanangu twendeni na fimbo natasbihi😂😂😂😂😂😂😂