@lismabeauty.academy: Mvuto wa crochet nzuri unaanzia kwenye maandalizi sahihi. Kugawa mistari, kupanga nywele na kufuata hatua kwa usahihi ndiyo siri ya kupata matokeo safi na yenye muonekano wa kuvutia. Lismabeauty Academy tunakufundisha ujuzi kwa vitendo! Tunapatikana Sinza makaburini Kwa mawasiliano 0704005705 #lismabeautyacademy #tanzaniabeautyacademy #chuochaurembo #madarasa #jifunzeujuzi
Lismabeauty Academy
Region: TZ
Friday 20 November 2026 06:47:28 GMT
Music
Download
Comments
🎶📸🪗aiem honeyviva💥💫 :
husidanganye inategemea anakloch nywele gan
2026-11-20 11:25:40
26
Jeka beauty :
hapana dada Acha nikukosoa eleza kwamba hivo ulivosuka inatokana na unacroch style gani?
2026-11-20 17:53:33
7
🦋Scotty✨🦋 :
Hellen usuke mistari mikubwa ivyo inakaaje🤣🤣au ni nywele kwa nywele unamaanisha
2026-11-20 12:49:38
1
lee beauty place :
Nakukubali sana dada ang one day niwe kama ww jaman
2026-11-20 08:21:38
2
DadaTz386 :
tuonyeshe huo muonekano bas baada kumalizia hapo dia🥰🥰
2026-11-20 19:07:45
0
Lushay cute :
Mnafundisha vizuri
2026-11-20 06:58:14
0
momo🌹 :
Woow am gain some thing🥰🥰🥰
2026-11-20 07:00:50
0
Mitumba_creamtz :
Msusi wangu atakoma😂naenda kumuelekeza mpka aweze🥰
2026-11-20 08:26:27
0
Numero uno🌺💦 :
Nimeongeza kit kingine 🥰....Asanteee madam🙏
2026-11-20 07:29:25
2
elly :
mm naomba nimwone akiwa ameçroch maana hako kamduara nyuma Bado sijakaelewa
2026-11-20 18:38:22
0
Rosemary :
after
2026-11-21 11:27:54
0
Irene beauty 🥰 :
watenja wengine wakataa kumzungusha kama huko nyuma wanasema ni kama wamevaa kofia😂😂😂
2026-11-20 18:15:13
1
👅💦🤸🏾♀️ :
Imagine selfie inakaaje🤣🤣🤣 watu waongo tumetosha bhana🤣💔
2026-11-22 07:03:00
1
nebacollection :
NIMEFUNGUA BELO LA MASHUKA MTUMBA GRADE A 😭😭😭😭SIZE 10/10 PURE COTTON SIJAUZA NINA WIKI SASA 😭😭😭PESA YENYEWE NIMEKOPA NIANZISHE BIASHARA 😭😭 🙌
2026-11-21 21:57:34
0
glory hairstyles Arusha♓ :
inategemea na nywele unayocrochet bhana Kuna zingine hazikai vzuri ukisuka lines kubwa hvyo
2026-11-21 05:17:49
0
erasmimassawe111 :
yn selfie mistar iwe mikubwa ivo mh
2026-11-21 09:32:41
1
Livon💕 :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-20 07:36:58
0
Kibaobao_tz :
🥰🥰
2026-11-20 08:59:09
0
To see more videos from user @lismabeauty.academy, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.