Lakin pia Kama Yesu alisema alitumwa kwa wana wa Israeli, kwa nini baadaye aliwaagiza wanafunzi wake kuhubiri kwa mataifa yote?
2026-11-20 14:37:03
2
suleiman :
mbn huk sjawaonaah
2026-11-20 10:03:36
3
Charls biggern :
1wakorinto 15:17-19 inasema kama kristo angekufa bila kufufuka basi waliolala katika kristo wamepotea lakini kwa kuwa alifufuka it means waliolala katika kristo wameokolewa katika kristo,,,,