@mombasa_diaspora_mwamko: #CapCut #mombasatiktokers #kenyantiktok🇰🇪 #lamutiktokers #kwaletiktokers @Murshid Mombasa Transformation @@mccoyali27 @Ahmed @Sheikh.Muhammad.yunus

MOMBASA DIASPORA MWAMKO
MOMBASA DIASPORA MWAMKO
Open In TikTok:
Region: GB
Friday 20 November 2026 08:14:13 GMT
49192
3873
728
192

Music

Download

Comments

kate.winslet099
Kate Winslet :
with all due respect....let him do his job we want peace and enjoy coast
2026-11-20 22:05:04
2
uzeirabdul
uzeirabdul95 :
wao wanapo wakatakata watu kwa mapanga je?
2026-11-20 08:54:01
184
salimpierreaubame
Salim :
so vijana wakiua watu hamujitokezi kuongea.. lakini wakiuliwa ndio kujitokeza na mashauri.
2026-11-20 14:48:05
88
ramzyramzykahindi
ramzyramzykahindi :
ali uno afanye kazi yake kwasababu mwizi hana huruma kwaiyo hawafai kuhurumiwa
2026-11-20 10:42:54
91
swaleheswalehe6
Captain Sultan :
Dini alisema Kamata dinu tudanu.Ali Nuno good job kaz iendelee
2026-11-20 11:04:45
26
kadur3341
NURKEY :
mbn huongei vijana wanaua
2026-11-20 10:49:40
48
izoo455
Is~HAQ :
hawa ndio wengine
2026-11-20 15:03:13
15
user4381121009504
@Yitzhak92 :
Ali Nuno, good job. Instill sanity
2026-11-20 11:06:02
5
hayatabubakar707
HAYAT GAS AND GROCERIES :
hakuna kuokoa maisha wakati another life is being lost
2026-11-20 18:44:05
8
harithmotors
harith_motors_ :
Je unawaunga mkono wanaokata watu mapanga ?
2026-11-20 11:48:12
27
reloadedhabibfany
reloadedhabibfany85 :
Wacha tuchimbe Lakini kuwe Na usalama..
2026-11-20 19:06:47
8
mbarakahmed254
Lee Mabruk :
wacha nuno afanye kazi musianze mambo yakusema mu aimani
2026-11-20 10:38:46
16
salmaabdalla4559
salmaabdalla4559 :
Nuno do your work
2026-11-20 19:58:30
0
leakeyondere
Leakey Ondere :
Plz plz achana Nuno afanye kz ju hawa wakora wamekuwa sugu ju wanatetewa na wazazi wao
2026-11-20 16:21:40
5
wabewab1
BAHALI YAKE :
pongezi pongozi Ali nunuo
2026-11-20 11:05:07
19
veroviki96
veroviki96 :
Mombasa town tourists are scared 😱 coming to visting in 👩 especially during this Christmas season
2026-11-20 17:57:37
1
nasibu454
Freedom fight Nasib 👊👊👊 :
police afanye kazi bila kutshwa
2026-11-20 11:21:40
7
nairobikeytrendz
AFRICA - Focus 🌍 :
Ali Nuno we love you!!
2026-11-20 18:04:23
1
michemiche146
MICHE MICHE COLLECTION.. :
wacha wachimbe juu watu wanaumia sana
2026-11-20 08:57:31
13
rahiluabdullah
rahiluabdullah :
Wwe upo Ulaya ssi ndio twaishii kwa uogaa Tumempaa Oder atufanyie kazi
2026-11-20 11:04:56
10
antymafia_.boss
antymafia_.boss :
wewe wanisema tu njoo likoni na kisauni uone ni makaburi mangapi yanezikwa watu kwa kukatwa na mapanga,walipelekwa jela wakitoka wanakata Tena Sasa waachwe waumize watu kwani hao ni watoto wa umbwa hawakuzaliwa,waache wauliwe waache kiuwa watoto wa watu,ata marwa aliwapiga alisema shoot to kill kama hawasikizi.nyinyi ndo wazazi mnawapa watoto nguvu za kkumiza watu Kila siku spitali zimejaa waadhirika wa mapanga,acha wapigwe ndo wengine waache!!!ata 80s sindano akiwa komesha kudzacha majengo
2026-11-20 11:32:24
9
khadhuj655
❤️Top queen 👑 :
apana alinunu Yuko saw
2026-11-20 10:53:23
8
nizzohgalacha8
Hamza. :
Nuno haui vijana ila Nuno anapambana na wakora na wezi
2026-11-20 11:07:51
5
sammy23083
21 :
2026-11-20 20:00:08
1
To see more videos from user @mombasa_diaspora_mwamko, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About