@abdulhafidh575: Jihangaikie na tiba

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 November 2026 08:16:29 GMT
23233
1312
43
126

Music

Download

Comments

arafa.ramadhani0
Arafa Ramadhani :
Kureport inakataa au tulekeze unaripotije
2026-11-20 13:42:20
2
fattynaveda3
Ummu Maher 🤱🏼 :
Afadhal Jana nimemuona kidg nikutag sheikh wangu🥺
2026-11-20 08:34:12
2
capt_komba_jr
Capt Komba Jr :
nafanyaje kuondokana na tatizo Sheikh?
2026-11-20 08:57:39
2
mrfixer00
Mr Fix305 :
Tiba yake pls! Hizo ndoto mpaka mitaa naikumbuka nikiwa ndotoni😳
2026-11-20 08:39:54
3
user9401287803395
Latkiyzdemwah :
Me nishachoka naomba msaada🥺
2026-11-20 10:14:23
2
user7107995660390
RAMAZANI :
tu saidiye allah atakulipa sh
2026-11-20 12:57:18
2
user263203595303
shery :
Asalama aleikum naota sana narudi maisha ya skuli na mpk leo sijafanikiwa kwenda chuoni naomba nilekeze nafanyaje
2026-11-22 11:17:23
0
issakhalidi1
Issa Khalidi9. :
shekh kila siku naota nipo shule wakat nimemaliza Toka 2019
2026-11-20 14:45:04
1
rukx34
Rukx :
Ustadh je ukifaulu mtihani maana yake nni
2026-11-20 09:03:00
1
user7981231032623
aridja :
mimi niko kongo Kinshasa yote unasema apa niyangu sasa unisaidiye maombi
2026-11-20 20:07:26
1
zaga695
Khamisi Mtegetwa :
Na hii ndoto ya shule inaniuzi sana , Mimi sasahivi ni mwalimu lakini naota nipo shule ya msingi
2026-11-20 16:25:39
0
babe208irah
Babe irah :
uyo n mm kabsa sn ata ninachokipata nafanyia kz wat wengne tu shekh nione nmm nahangaikaa 😭😭😭
2026-11-21 12:47:48
0
dijja560
dijja560💕 :
oustaz tunaweza kukutafuta ukatusaidia?plz nijibu
2026-11-20 18:19:55
1
swalhaabdul1
1234567890 :
ustadh tupe suluhisho
2026-11-20 11:04:22
1
officialbarekii
o͢f͢f͢i͢c͢i͢a͢l͢b͢a͢r͢e͢k͢i͢i͢ :
Wanga bhana
2026-11-20 08:21:41
0
user8675490081967
nisha babe :
naota nimevaa uniforme mpya
2026-11-21 13:25:57
0
hhassan411
Official H Hassan🥀 :
ni mm jaman
2026-11-21 14:37:59
0
user9401287803395
Latkiyzdemwah :
Naota sana iyo ndoto
2026-11-20 10:14:49
1
zai.jaeka
Zai Jaeka :
ndoto nyingi mbona zinaniusu unapatikana wapi
2026-11-22 18:07:16
0
usernuraysh
user Nuraysh :
tufanyaje shekhe
2026-11-21 20:59:08
0
chilodiwamwinga
CHILODI :
Sasa tunasaidikaje Shekhe wetu ???😳😳.
2026-11-22 15:09:12
0
user7981231032623
aridja :
Allah atakulipa Inshaallah tutapona jee msaada tafazali sanaana
2026-11-20 20:09:10
0
jayphar4036
hearean✨baby💝 :
mm niliota nimesahau kuandika namba za mitihani
2026-11-20 18:48:34
0
princesse31032001
Sp$ :
Sasa Tuta saidiwaje ???? Sisi tunapatikana kongo
2026-11-20 18:45:17
0
shamiluabdallah
shomi tz :
shehe utakuja lini tena mtwara ,na ukija toa taarfa nina shida kubwa sana
2026-11-20 09:40:29
0
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About