@evamrema2: Huhukumiwi, unasaidiwa, jitahidi kusikiliza uelewe. Una kucha ndefu za bandia, huyo mtoto unamtawazaje atakate? #evamrema #trendingnow #fypシ゚viralシ #trendingreels

Eva Mrema.
Eva Mrema.
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 November 2026 08:41:14 GMT
3805
154
7
10

Music

Download

Comments

annebeuty
annebeauty :
ata hospital wanakataza kua na kucha ndefu kama unalea
2026-11-20 11:23:17
1
user2276735462825
Godlove in Wheels :
Very true. Ni tatizo la kisaikolojia.
2026-11-20 11:12:34
1
suzan.samwel17
Mîsojî :
Nakupendabure,hivyovyotesiovituvyangu
2026-11-20 17:20:27
0
liberatus995
Liberatus Jackson :
duuh🤣🤣🤣napata shida
2026-11-20 09:06:16
1
naryannn
Naryan :
ni tatizo kweli coz I realized something wakati nipo secondary sikuwa na confidence ya kukaa bila kujilemba coz wakati nipo primary nilikuwa naambiwa mbaya kwasabubya kusema kwa uzuri gani mbaya ila baada ya kukaa mbali mda mrefu naweza kutembea bila chochote usoni na sijali na sipendi kujilemba sana napenda simple tuu
2026-11-20 15:30:43
0
farida_deliciouskibaha
farida_deliciouskibaha :
🤣🤣🤣🤣nimecheka jaman
2026-11-20 09:14:12
0
user29908259724084
user29908259724084 :
napenda kucha lkn nikiwa nalea ..huwa siweki kucha kabisaaa
2026-11-20 17:38:59
0
To see more videos from user @evamrema2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About