am here, na ujue mpaka tutest hot shower nikimaliza
2026-11-24 14:18:34
0
jamleck kabaya :
nikimaliza kuinstall tutaruka shower alafu tuwatch movies tukitest wifi kila corner ama
2026-11-24 06:35:31
1
𝐏𝐋𝐔𝐌𝐁𝐄𝐑. 𝐌𝐖𝐀𝐒🚰🚿🛠 :
plumber mwas ako hapa
2026-11-20 09:11:14
88
hin_bryann :
Over here
2026-11-24 06:08:37
0
MaggieNimo91 :
Good gal. Tebu usitoke tena. Huko kuna raha. 🤣💃💃💃💃. Me at 35yrs enjoying my mum pampering me. 🔥🔥🥰💃
2026-11-20 16:15:29
9
pinkstar lyn :
pia mm nilirudi kwetu guys...biashara is not a joke guys
2026-11-20 11:07:26
62
@Danwallace :
I can do it
2026-11-24 10:36:52
0
Jane :
Narudi January pia mimi...hamtaniulia town😂😂
2026-11-20 09:34:16
20
Collo :
location....nko hapa
2026-11-20 08:48:21
12
Jaaay Kukosh :
na nikimaliza niku install 😂😂
2026-11-20 09:13:58
40
Ephaniiie :
this gal is supper dope 👌👌
2026-11-21 08:02:40
9
Anne :
wale mko na Kwa kurudi mnafurahi?Kuna sisi hata Kwa dawa hatuwezi rudi Kwa wazazi no matter what juu huko ndio kubaya zaidi. Wacha tuzurule Kwa streets usiku na mchana but kurudi ziiiii.
2026-11-20 11:54:57
7
otis :
lakini watu wako na wazazi huskia poa..sasa mtu kama mimi sina mama,sina baba, sina ndugu,sina dada na sina ushago ya kurudi life ya tao ikiwa ngumu..enyewe privileges zingine mi huona tu hapa tiktok..
2026-11-22 05:20:33
10
Gitau jr🙂↔️ :
Mimi niko na ata sitaki malipo😂😂
2026-11-20 10:20:23
27
African EYE :
first comment ☺️☺️☺️
2026-11-20 08:47:49
18
Pinjuu travel :
mm nili rudi kitambo sai mathe asha pika lunch na wait uji ya saa kumi, no strees
2026-11-20 10:59:47
9
2k gamerz :
Caicedo wetu......
2026-11-20 12:55:15
5
kagotho💵 :
unatumia phone ngani na ni how much
2026-11-20 09:41:31
8
zulfaa🌼 :
wee unarudi na mi nataka kutoka huku rent unalipa na mental health😭
2026-11-20 09:38:48
8
To see more videos from user @f.a.ith0, please go to the Tikwm
homepage.