@kiswahilitvonline: Nipe pesa. Nipe madaraka. Sijali." — Elon Musk 🗣️ Mwaka 2023, Elon Musk aliingia kwenye mgogoro mzito baada ya kutoa kauli za utata mitandaoni dhidi ya wafanyabiashara wenzake wakubwa (akiwemo bilionea George Soros aliyemkosoa vikali hadharani). Alipokuwa kwenye mahojiano ya TV, aliulizwa kama haogopi kuwa kauli zake hizo zinawakera wateja wa magari ya Tesla na kuyafukuza makampuni yanayolipa matangazo kwenye mtandao wake wa Twitter (X). Lakini jibu lake liliwashangaza wengi baada ya kusema, atasema anachotaka kusema dhidi ya mtu yeyote, hata kama kufanya hivyo kutamgharimu kupoteza mabilioni ya pesa. Na kweli, miezi miwili baadaye, makampuni mengi yalisitisha matangazo na mapato ya Twitter yakashuka kwa 50%! 📉 Kwenye biashara ya leo: Je, ni bora kunyamaza na kuficha hisia zako ili kulinda wateja na washirika wako, au ni bora kusema unachoamini hata kama utapoteza pesa?👇

kiswahili Tv
kiswahili Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 November 2026 08:48:53 GMT
21881
1396
13
34

Music

Download

Comments

user4732725250944
user4732725250944 :
ndio ila njaa ya mda gani
2026-11-20 19:38:02
1
bab_p
cnn :
mm Niko tayal
2026-11-20 19:45:10
1
d6555506
D6 :
liliwahi kulala njaa ili nibeti
2026-11-20 13:36:02
4
fatumaabdi581
fardosa abass :
niyo
2026-11-20 18:43:49
2
user9742051182787
user9742051182787 :
ndiyo
2026-11-20 17:56:50
1
mohamedyidrisa5
Mohammed 99 :
this man he is best reacherst in this world
2026-11-20 18:53:21
0
user8512078756298mambea
user8512078756298mambea :
yes
2026-11-20 18:31:03
1
yusuph.ndege
Yusuph makinga :
ndio
2026-11-20 20:16:20
0
softwithabella
bella 💖 :
yes
2026-11-20 09:36:24
1
reginabalekele
Regina🇹🇿💚💚 :
ila matajiri jamani hawajielezagi Sana kutana nawatu masikini wanaongea kama chiriku 🤣🤣🤣🤣
2026-11-20 20:00:08
0
bonymbilinyi
bonymbilinyi :
Yuko sahihi tajiri hakoseagi 😂😂😂😂.. nb hakuna tajiri mjinga
2026-11-20 09:39:42
2
shujaaw
Syndicate 🙏 :
Yeye mwenyewe anajijua ni mgodi unaotembea[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-20 14:11:52
1
To see more videos from user @kiswahilitvonline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About