@ndumamedia: Jifunze Kitu Hapa📌 #ndumamedia #smartbusinessbuildsystems #Networkmarketing #Nondozamaisha #jifunzekitu

🎖️Nduma Media
🎖️Nduma Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 November 2026 09:07:27 GMT
122696
8296
288
517

Music

Download

Comments

user38158124123388
nifer❤️ :
kbsa[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-24 07:52:40
0
subira.khatbu
Subira Khatbu :
sio kweli wengine tunajituma wenyewe
2026-11-21 08:03:09
64
henry.lyogelo
Henry Lyogelo :
sio kweli hayo mawazo yako
2026-11-21 06:55:24
15
user2338484396175
vanaya shivai :
sio kwer kunawengine tunamba sisi km sisi hatutengemei wanaume
2026-11-21 14:02:26
10
reginagabriel45
Regina :
sasa mi namuomba anasema hana kilasiku hana nifanyaje apo
2026-11-23 09:40:15
3
miss.mageta0
Aggy~~🫧💫🌸 :
Fact😁😁🫡
2026-11-23 09:51:02
0
user7003392099828
annet @kiboen :
weweeeee ...
2026-11-22 20:16:49
0
mandomineymer0
Mandomi. 🇹🇿🇱🇷 :
Nakubaliana na wewe
2026-11-21 08:11:07
4
cutenuu33
Cutenuuu🥰🥰 :
😏nonsense
2026-11-23 08:14:45
0
na2ha66
💕💕💞€☆☆☆☆official naa☆☆💞💞 :
uyu nae nan anatoa siri zanguuuu
2026-11-22 12:51:32
2
maria.nabuh
marianabuh :
ni sawa lkn Kwa nini utoe code
2026-11-22 13:53:00
0
sharisadick
Only God 🤲🤲 :
sio kweliii
2026-11-22 13:48:22
0
an34280
An :
mim ni mwanamke so kweli
2026-11-21 12:40:53
0
jacksolutions6
Jacksolutions :
😁😁😁😁 cku iz kwny maisha yan kila mtu kocha
2026-11-21 16:40:50
0
jenyliiii
fine girl😍 :
nawaomba wazaz na napew
2026-11-22 16:30:22
3
aishamwaya455
Natasha@bryan :
fact
2026-11-20 11:07:49
1
kuluthumuamani
Kuluthumu Amani :
nataman niwekee status
2026-11-22 18:38:40
0
mgwani2090
MGWANI📧 :
Na unae mpa kunasehem anapeleka
2026-11-21 12:17:43
1
happinesssaid1
HAPPINESS SAID :
Acha jaman me napambana kwa jasho lang me mungu amenijalia afya njema kwann niwe omba omba ukitaka unipe ukitaka acha me cjazaliwa niwe Omba omba wakati Nina nguvu ya kutafuta
2026-11-22 11:26:01
0
zadeon4
Real zamda :
ndy n kweli tunawaomba wazaz wetu na hawatunyimi
2026-11-22 11:21:32
2
purity01259
🌹purity 🌹 :
siyo kwel wengine tunajitegemea wenyew
2026-11-21 18:58:07
4
arunasalim8
Diana gara :
kuna watu tunawaomb na wanatup
2026-11-21 20:42:38
0
rajikhan62
Zungu Junior :
sas mbn hatuwaelew c mlisema mwanamke akikupenda hakuombi pesa ama nn
2026-11-22 23:48:07
0
user2368593081380
Grace@🥀 :
mm napinga...Iko ivi sio wate wenye haombi wapenziwao ety wako na watu...yategemea na huyo mtu ywamdate ..kama kipato chake Kiko vipi
2026-11-21 12:32:00
2
galagotz
galagotz :
anafanya kazi analipwa
2026-11-21 11:22:51
0
To see more videos from user @ndumamedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About