@lishe360: Jaribu hii combination rahisi sana ya tambi + yai la kuchemsha + parachichi • Unachemsha tambi na yai, kisha unaviponda pamoja na parachichi mpaka viwe laini na rahisi kula. #ChakulaChaMtoto #MapishiYaMtoto #MamaNaMtoto #BabyFoodldeas #MapishiRahisi