@walterhabari: RAIS SAMIA ATOA ONYO KWA ASKARI POLISI, AAGIZA MAKAMANDA WA MIKOA KUSIMAMIA NIDHAMU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa maelekezo kwa Jeshi la Polisi nchini kuhakikisha nidhamu na maadili ya askari vinasimamiwa kikamilifu, akiwataka makamanda wa polisi wa mikoa kuwajibika katika kusimamia utekelezaji wa maelekezo hayo. Rais Samia amesisitiza umuhimu wa askari polisi kuzingatia misingi ya taaluma yao, maadili na nidhamu katika kutekeleza majukumu yao ya kulinda usalama wa raia na mali zao. Akizungumza wakati wa kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, unaofanyika katika Chuo cha Polisi Moshi, mkoani Kilimanjaro, Rais Samia amewataka makamanda wa mikoa kuhakikisha wanasimamia nidhamu ya askari walio chini yao ili kuimarisha uwajibikaji na weledi ndani ya jeshi hilo. Mkutano huo unaofanyika Novemba 20 hadi 22, 2026, unalenga kutathmini utendaji wa Jeshi la Polisi na kuweka mikakati ya kuimarisha usalama nchini. #WalterHabari #RaisSamia #JeshiLaPolisi #Kilimanjaro

WALTER HABARI
WALTER HABARI
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 November 2026 10:46:51 GMT
25918
1606
35
55

Music

Download

Comments

imerielisha
rachel🪻 :
uwongo mtupu
2026-11-20 15:18:19
0
alufmwamlim
alfamwamulim :
wauwaj
2026-11-20 15:37:04
0
annalekule100
AnnaLekule100 :
MY PRESIDENT SAMIA🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-11-20 12:51:46
6
blackwhite9668
Black&white :
mm Kuna kitu sijakiskia ila au bas...
2026-11-20 15:56:13
1
thomasi246
thom :
2026-11-20 13:00:58
0
grepa_wine
Grepa :
Asante Mama
2026-11-20 17:29:23
0
josephinawangala
Josephina Wangala :
ooooooh
2026-11-20 13:06:42
1
mrpikipikiusedtz
Mr pikipiki :
wanabambikiza kesi
2026-11-20 15:46:52
0
zabronlupemba
minona :
peace gani unaumiza raia wako
2026-11-20 15:05:27
0
pawatilla
Hussein mwedadi :
waiiii hakuna kitu mama hakuna jeshi hapo
2026-11-20 14:14:17
0
amicdulah
Amic dullah :
2026-11-20 12:53:06
1
ocpd21
Jerad :
😂😂😂
2026-11-20 12:56:39
0
baby.naah26
❤️‍🔥AlX🫰baby naa❤️‍🔥🤞 :
😂
2026-11-20 15:00:47
0
donedar7
Done Dar :
sasaivi wanaanglia kama gari inadaiwa kuna baadhi ya maskali baadji hawaaandiki lkn lkni wengine wanakuambia nenda lkn huku nyuma anakuandkia cheki
2026-11-20 15:39:09
1
jeff13383
jeff :
ww ndo umewaondolea sifa ya askari na upendo kwa wananch umewaingiza kwenye mtego
2026-11-20 14:42:43
1
pharency.g.com
pharency mkiriti :
nikwel usiyejifahau akiri ndogo linasifa kwa kutesa wanainchi na kuua raia
2026-11-20 15:10:35
1
cancellortotti
Cancellor Totti :
Yaani huyu hakupaswa hata kuwa mbunge basi tu yaani kutwa ni kusifia jeshi la polisi tu
2026-11-20 15:07:06
1
salum.haroub
Salum Haroub :
ukiwapeleka uko itakua vizuri sana
2026-11-20 14:51:44
0
ocpd21
Jerad :
😏😏😏😏😏
2026-11-20 12:56:24
1
ally34139
Ally :
😅😅😅😅
2026-11-20 12:37:48
2
alextemu4
Alex Temu :
😂😂😂😂
2026-11-20 15:35:50
0
ally34139
Ally :
😏😅😳😁😂😂
2026-11-20 12:37:55
0
newton_khan2
Hussein_Newton :
😂
2026-11-20 13:01:04
0
user5710437610788
king mswati.💯 :
☺️☺️☺️☺️☺️
2026-11-20 13:39:05
0
amigo.de.tyga
amigo de tyga :
🙏🙏🙏
2026-11-20 11:47:01
0
To see more videos from user @walterhabari, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About