@bbcnewsswahili: Simba wanaongoza ligi kwa kishindo, huku Yanga wakisaka namna ya kurejea kwenye ushindani wa ubingwa. Je, huu ni msimu wa Mnyama kutawala au Wananchi wataipindua meza? @ahmedbahajjofficial anadadavua 🎥: @frankmavura #BBCCSwahili #SimbaSC #YangaSC #viral #fyp #foryou