@pastortonyosborn: Wajibu wetu kwa Bwana ndio unaotusaidia kuzaa matunda kwenye maisha yetu. Kabla Mungu hajatusaidia tunawajibu wa kufanya na moja ya wajibu wetu ni kunena sawasawa na mapenzi yake. “Maana twajikwaa sisi sote pia katika mambo mengi. Mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu mkamilifu, awezaye kuuzuia na mwili wake wote kama kwa lijamu.” Yak 3:2 SUV #SisiNdioWaleTunaosaidiwaNaBwana