@nick_director: David Mulokozi once said…

Nickson Sawe
Nickson Sawe
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 November 2026 12:26:34 GMT
24012
1939
58
417

Music

Download

Comments

nicaragua_150
Nicaragua🫶🇹🇿🍓 :
nikionaga watu wana jifanya na marafiki hua nina waangalia tu
2026-11-21 03:27:16
34
_herieth56
Herieth :
duuu nimemuona Silayo may his soul rest well😭😭😭
2026-11-22 13:51:11
0
marieomi31
Marieomi❣❣😊 :
ila sometimes familia nao ni wasaliti nina ushuhuda🙌🙌🙌mungu atupe tu watu sahihi wa kushikana nao
2026-11-21 05:24:57
16
kingpin6933
Kingpin :
Dunia hii familia yako ndio marafiki zako
2026-11-21 20:34:40
4
_gbaby55
Gbaby❤️ :
ndo ninacho pitia sasahivi
2026-11-20 14:10:58
4
farajimayobafaraji235gma
MR PARIS☎️ :
Me kuanzia familia, ndugu, Marafiki, kwenye utafutaji wangu sitakagi kabisa kuwapa attention kwnye utaftaji wangu never
2026-11-21 05:59:30
6
user60080462
user600804 :
Mungu anatufunza hata kwa uzuni marafiki sio watu
2026-11-21 09:14:11
1
bushirimagu
azora :
bora kuwa na marafiki wachache
2026-11-21 01:44:05
1
myjudee
Judee mjila :
weee mm mbona ndugu ndo walinikimbia marafiki wakaniifadhi 🥺🥺🥺
2026-11-21 08:47:59
1
dewis.godwin
Dewis GODWIN :
kaka uko sahiii kabisa ata ndu uwa wanalala mbe kaka barikiwasana kwa kuwa sii watu
2026-11-21 09:16:00
1
onceayear1989
Mr.Gold :
Kuna marafiki wanaozid undugu,na ndugu wasiofaa hata kuchangia jina la ukoo.Pata changamoto ambayo 90% ya watu wanaamini utafeli au angamia na kuvuka hapo ni miujiza pekee ya Mungu.Hapo utajua vzr hio
2026-11-22 19:49:06
1
cugalivinus.archa
Cugalivinus Archard :
Tena ndugu wana kuwa na wewe ila washikaji ni wachache sana
2026-11-21 07:50:41
1
nyabuelizabeth096gmail.1
Udaah :
ndiyo maana sina rafiki
2026-11-21 07:26:45
1
ggm1743
GGM :
wanasema mm ni mbaya kwakuwa sina marafiki ,kumbe hili ndio jambo jema
2026-11-21 07:37:49
1
kevinmasero3
kevin masero :
very true
2026-11-21 05:33:40
1
01said_1
Said Abdallah :
kweli boss
2026-11-21 12:19:01
1
nicaragua_150
Nicaragua🫶🇹🇿🍓 :
kikweli kaka nilikua na marafiki tena niliwasaidia kama ndug zangu ila nilipo kwama nilipopotia changamoto sitakuja kusahau namna walivyo nifanyia jamani urafiki aupo wapo watu wachache sana wenye mioyo ya fadhila,,ila nilipata watu wapya walio nibeba bila kuchoka
2026-11-21 03:26:19
3
nicaragua_150
Nicaragua🫶🇹🇿🍓 :
sitakuja kusahau changamoto zile namna marafiki walichonilipa
2026-11-21 03:26:56
2
evorichie
Evorichie :
Kabisaa
2026-11-21 07:11:35
1
user1556812340611
user1556812340611 :
sana mkuu yan mm ndio nko hivyo had umeongea kitu mhimu xana
2026-11-21 05:04:02
1
pmchuchu3
P&E :
Mm ndomn yakinishinda na beba mabegi naludi home 😂
2026-11-21 18:50:51
0
clintonaward1
CLINTON the UNIQUE MAN!!!!🔥🔥 :
facty broh
2026-11-22 16:44:22
0
stevenrmugishamgs
stevenrmugishamgs :
Asante baba.wale wanaosubili niwatafte tena nawambia siwatafti na sababau ndo hii ninaekutafta elewa wewe ni lafiki wa kweli
2026-11-22 17:33:51
0
sue61043
sue :
Kweli
2026-11-22 13:49:06
0
user9781861982202
tertula hendry :
Pole bhana Mimi nilikuwa nafikiri Kama wewe
2026-11-21 21:54:40
0
To see more videos from user @nick_director, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About