kumbka siku ya kiama huwez kumlipa hela Wala chochote je una ushahidi siku ya kiama utamlipa amali au utabeba zambi zake
2026-11-20 19:12:01
4
Juma Ajali :
nilitabili baada ya shekh walid mziwanda anafuata sio baati mbaya
watatumika mashekh ao ao kuwachafua mashekh wakweli.
Ushahidi ?
ndiyo kazi ya mitandao na malengo yake ila ipo siku na ipo karibu
2026-11-20 19:38:32
2
Muhammad :
Mawalii wa mungu lazima washambuliwe
2026-11-20 18:45:20
3
MTP FASHION DESIGNER :
IWE KWELI IWE SIO KWELI
MTUME S.A.W ANASEMA
من ستر مسلما ستره الله في
الدنيا والا خرة.
mwenye kumsitiri ndugu yake muisilamu duniani
mwenyezi Mungu atamsitili kesho kiama.
2026-11-20 20:04:23
1
regend of mbarate :
WALLAHI WABILLAHI HAYA MAMBO MNAYOTUKANANA MNAYO VUNJIANA H3SHIMA SIKU YA KIYAMAA LAZIMA MKAJIBU WALLAHI......
2026-11-20 18:42:04
2
Anwaaaary_AHJ :
kwani amefanya nn
2026-11-20 19:37:27
1
bn ayyuba :
kwel sisi tunazo.elimu ila atujui kutumiha elimu zetuuu
2026-11-20 18:03:08
1
Hamza Yasini :
siku zote mtu akiwa mwema halendwi
2026-11-20 16:26:31
1
Man Ngemba :
Mashia wanamchukia sana huyu jamaa.
2026-11-20 20:59:29
0
Said Salim :
akina nani hao
2026-11-20 14:33:01
1
Alfaqeer :
Hatumtengi SHEKH Mziwanda tutawatenga Mashia wasokuwa na Adabu
2026-11-20 20:52:28
0
user9104913574976 :
mbona nyinyi mashia mnatukana wake wa mtume na maswahaba wake?
2026-11-20 20:08:41
0
Mlimwengu Mshihiri :
Anatuchafulia shekh wetu huyu na wenzake tunampenda na hatutaacha kumpenda
2026-11-20 20:30:03
0
user hussein maige :
mbona simuelewi huyu jamaa anasemaje kwani
2026-11-20 20:20:18
0
Brazilero :
lete ushahid tukuamini
2026-11-20 19:47:38
0
Adnani Ngungwipara :
kwanini kuna picture ya shekh muharami mźiwanda?? na haujamsema kwa jina huyo mtu
2026-11-20 16:41:08
0
Said Salim :
na mbona kuna picha ya huyu shk
2026-11-20 14:33:22
0
user5605832703055 :
mungu anampenda mtu anastiri aibu ya mwezake
2026-11-20 16:23:43
2
mwarabumwarabu673 :
we umeipata wapi kumuita mbwa mwenzio kasome kaka
2026-11-20 17:46:50
1
babdullah🫀💘 :
ww huo sio uislama atakama mwenzio amekosea inafaa umuite faragh na kumuambia na sio ku madina kwenye mitandao
2026-11-20 15:03:06
2
💥💫💥💫💥 :
ww hunakitu kaisomedini muislam akikoseeea
2026-11-20 15:24:25
1
MR ALLY :
kwanini mnapenda kuwatuka mashekhe kwani nyie mlikamilika unaongea na kutukana je hio ndo khulqa
2026-11-20 20:04:36
0
Juma Ajali :
hv ni shekh gani huyu katumika ?
2026-11-20 19:39:44
0
user46117137917576 :
acha kufuta kaz sheh
2026-11-20 17:00:26
0
To see more videos from user @nasaha.elimika, please go to the Tikwm
homepage.