@millardayo_: Ipi tofauti kati ya njia na Barabara? 😃 @frida amani @Vido vidox @Njenge TZ🇹🇿

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 November 2026 12:43:50 GMT
51315
6180
250
51

Music

Download

Comments

zirrymomy0
🎀💞Rizydah🎀😎 :
njia ni njia na barabara ni barabara😂
2026-11-20 13:24:46
20
user95rajmill
Rajabu mussa :
njia ni kitu chochote ambacho kinaweza kukusaidia kutoka sehemu Moja kwenda sehemu nyengine
2026-11-21 11:22:59
0
luckreciachedy
Mariam Chedy 🦋 :
NJIA ni Njia ya UZIMA alaf BARABARA ni LAMI💔😂
2026-11-20 13:06:48
13
black.wolf1555
YOUNG REIGNS✅ :
Njia ni eneo dogo lenye mpenyo kutokea sehemu nyengine na balabala ni eneo kubwa linalopitisha vitu vikubwa na vidogo pia au nimekosea millardayo
2026-11-20 13:58:35
37
mkadinaliog33
Samuel Pozzeh :
yaaan Barabara ni Njia ilochangamka .... na Msinifokee
2026-11-21 06:11:35
1
cutepie6349
cutepie🧁 :
ikifika 1000 mniite 😂😂😂
2026-11-20 12:53:16
6
tanu.jr10
MALI SAFI :
type of way. land way air way water way. Barbara ipo ndani ya land way. 🫡 yahaya njenge.
2026-11-21 11:06:00
1
mrwick5121
MR, WICK666 :
barabara ni mama wa njia, so ndani ya barabara moja kunaweza kua na njia zaid ya moja, unapoenda chuo cha udereva ndo unapata kufaha namna ya matumizi ya njia na barabara
2026-11-21 06:49:40
0
master24gmail.com
master :
njia ni balabqla za vumbi na balabala ni balabala za lami😁
2026-11-20 19:39:53
0
dnumz.khan
Dnumz Khan :
njia ni sehemu au mstali unaotumika kupita kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine🤔ila barabara ni njia iliyotengwa kwaajili ya usafiri wa magari,pikipiki,baiskel au watembea kwa miguu.😂😂
2026-11-20 21:41:54
2
j.d.j.k6
📌 :
Njia ni ya watembea kwa miguu na barabara ni ya magari
2026-11-21 05:15:52
0
tanzaniatraveler
T🇹🇿 :
The way to heaven is by praising God😁
2026-11-20 18:15:53
0
emanuel.dotto20
dotto emanuel :
😅😅😅😅😅😅Tulio enda leba tunajua njia vzr tu
2026-11-20 17:03:16
0
prospermacha1
Prosper macha🤓 :
njia ya uzazi🤔
2026-11-20 13:14:30
1
bns.de.fans
𝑩𝑵𝑺 𝑫𝑬’ 𝑭𝑨𝑵𝑺̲📌 :
🔥🔥 nakukubali sana
2026-11-20 12:53:12
0
user964876073288djngsa
A patriot :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] frida unawazaga nn? vp kuhusu njia ya uzazi
2026-11-20 16:55:34
1
evodinkyxdt
rachel🍒 :
millarday💕💕💕
2026-11-21 07:19:53
0
user7702500216932
@benjaminimwalimu3gml. :
duuu njenga ni noma kwa uchambuzi
2026-11-20 15:30:00
0
masongelah2
MASONGELAH :
njia ni sehemem ya uelekeo mmoja na barabara ni sehemu ya uelekeo miwili tofauti
2026-11-21 06:48:57
2
baba.p.shop
Baba p shop :
Yesu mwenyew alishasema kuwa yeye ndiye njia ya kweli na uzima kwaiyo ni Neno pana Sana
2026-11-21 06:23:23
1
j2_berbarshop
Abdul♤♤♤$$$☆☆☆ :
barabaran ni eneo kubwa zaid ya, lakn njia ni eneo ndogo kupit na miguu
2026-11-21 07:31:41
1
yoh_innovative
yoh_innovative :
Njia = Method, Way, au Mechanism. Ukiweza kutafsiri hayo maneno kwa kiswahili utakuwa ume pata jibu zuri zaidi.
2026-11-21 06:01:04
1
kande_point
@kande_point :
What if nikasema barabara lazima iwe juu ya ardhi ila njia inaweza kuwa popote pale njia ya anga, njia ya majini 😎
2026-11-20 20:21:26
1
rajitz42
Rajitz :
njia ya anga
2026-11-20 19:40:29
1
starfe42
starfe42 :
Njia n sehemu ya barabara
2026-11-21 07:04:32
1
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About