@cattietrysammy: Hospital life๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ#creatorsearchinsights #fypใ‚ท #memes #comedia #nurse

cattie Trysammy
cattie Trysammy
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 November 2026 13:09:30 GMT
171670
10959
423
568

Music

Download

Comments

denis_shegy
Denis Shegwando :
halafu mgonjwa ametoka kupigana club amepasuka uso๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-11-21 05:18:53
118
official.min.jack
Official min jack โœจ :
Humu Leo wote n wauguzi Aya ๐Ÿ˜‚
2026-11-20 15:40:12
307
anither_465
iam_anie๐Ÿฆ‹๐Ÿฅฐ :
ila nyie hii kazi yetu hii jmn[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
2026-11-20 13:40:43
76
yasinta.angela
yasinta angel :
Ndomaana wauguzi wa usiku mnakuaga na hasira sana eti e
2026-11-20 17:36:29
219
user30823839352033
marry :
kelele za ambulance Zina booo kama mgonjwa sio ndigu yako๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข
2026-11-20 18:43:19
93
leilah_52
๐ŸŒธqueen๐Ÿ‘‘ libraโ™Ž :
nilikuwa nasubiri part zuchu ameanza aaah pablo ukigusa beat nashtuka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-11-20 16:06:24
87
suzymella.9
Suzy Mella :
peke angu ndo muuza mkaa apa
2026-11-21 04:31:01
9
paschal.vice
Pasc D.B.M :
mlienda nait kulala au
2026-11-20 17:54:32
40
2kings2211
2kings22:1 :
alafu unashangaa ilikua inapita haiji hospital kwenu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
2026-11-20 15:09:29
37
victoriamgao
VictoriaMgao๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ :
manurse tuu ndo tunaelewa this situation ngachoka mwee๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
2026-11-20 19:50:15
7
g.mom17
G momโ™ฅ๏ธ๐Ÿฅฐ :
ndomaa mnatukasirikiag ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-11-20 15:39:23
19
victakamage917
victor kamaghe :
daaah umenikumbusha enz zauhai wang mwaka 1945. mamang akati ajazaliwa mimi nilikuwa naish kwabibi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-11-21 04:18:20
9
momy_neem
Dee Nemaโค๏ธ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ฒ :
kila mtu Muuguz ila Tiktok๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ
2026-11-20 21:04:41
6
mwakahabala
Mwakahabala :
Amukaaa amukaaa, amukaaa
2026-11-20 14:04:19
7
irenendumbaro
Irene Ndumbaro :
inauma hiyo asikwambie mtu, lakini ndo kazi hakuna namna
2026-11-20 15:26:24
9
aureliamwikali500
Aurelia Mwikali500 :
muache kuokoa wezi[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-21 06:31:19
0
joycemagunga882
Joyce Magunga :
wachana kabisa na hii kitu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wauguz tuna mbingu yetu๐Ÿ™Œ
2026-11-20 16:07:11
7
elistagailo
it's me allyโœจ :
nilikua mm kimti kiliingia Kwa kucha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-11-20 14:33:04
8
dory26321
Tabithaโ™‚๏ธ๐Ÿ’œ๐Ÿ’œ :
ni wito Pia huo Mungu awakumbuke madaktari na manesi wote ,muitende kaz yake vyema ,awainue viwango vya juu ,awajalie moyo wa uvumilivu na upendo kwa wagonjwa ,hakika tuzo yenu ni kubwa mbinguni
2026-11-20 18:25:47
6
officallsally095
๐Ÿ’ฆcute sally ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ’ :
Nachokaga mm๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-11-20 15:50:24
5
happyp441
khfjknfdk :
yaan acha 2 mda huo umekaa toka saa mbili hadi saa 6 usiku bila admision ile unaenda kulala 2 kinakulamba๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-11-20 18:42:03
2
user9611223424284
Janne chulu :
umenikumbusha mbali sana field Huwa wanafunz tunasakiziwa sis manes wanalala wanafunz tunashughurika๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
2026-11-21 08:16:37
1
pendofguhc3
officallpendo :
2026-11-20 18:31:25
0
mlawi.galactico
๐•ฏ๐–— ๐•ฐ๐–—๐–Ž๐–ˆ๐– ๐•ธ๐–‘๐–†๐–œ๐–Ž. :
kwan inakuj bila taarifa mwanetu
2026-11-20 16:05:54
4
mina.emmy3
Minah8898 :
watu wasiumwe jmn๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
2026-11-20 19:19:45
0
To see more videos from user @cattietrysammy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About