@nuktatanzania: Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amelitaka Jeshi la Polisi kukutana na madereva wa mabasi ya mikoani na kuwapa elimu kuhusu sheria ya kukatwa pointi kwa madereva, kufuatia mgomo wa hivi karibuni wa madereva waliopinga sheria hiyo. Akizungumza leo Novemba 20, 2026, wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka 2026 wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi Moshi (CCP), ameliambia Jeshi la Polisi kukaa na wahusika, kuwaelewesha na kuwapa elimu kuhusu umuhimu wa utekelezaji wa sheria hiyo. Amesema si jambo zuri kuona wananchi wakigomea sheria zilizopitishwa na Bunge, akisisitiza umuhimu wa kuwafahamisha madereva madhumuni ya sheria hiyo na manufaa yake kwa usalama wao.
NuktaTanzania
Region: TZ
Friday 20 November 2026 13:16:39 GMT
Music
Download
Comments
INNOCENT ZAKARIA :
Kwahiyo bunge likiamua wananchi tuuliwe hakuna wakuhoji
2026-11-20 15:41:56
17
₩@£@#€/_£ :
Naomba kuuliza...KWAN UYU NI NANI😪😪🙏🙏
2026-11-20 16:19:47
5
Dr Hamisi. :
MADREVA NAHISI HAMUWAJUI VIZURI
2026-11-20 18:01:40
2
Nzinje Enterprises :
Safi Sana Mama, KAZIA HAPOHAPO HAKUNA kulegeza.
2026-11-20 16:07:50
2
@OLLE SAMBERU :
kwani uyu mama madereva wali mkosea nini??
2026-11-20 15:51:03
6
mrisho Ramadhan :
ata sijui tumlikosea wap
2026-11-20 16:01:00
2
kechegwa :
sasa mama unataka tufanye kazi gani jamani
2026-11-20 18:25:24
3
@mosady★★★🫡🫡 :
hatuwezi kuwaelewa hata wewe sikuelewi pia tuheshimiane kila mtu afate yake
2026-11-20 15:53:04
4
LUHAMBA JR t.z :
hyu mama VP hyu aseee
2026-11-20 15:23:05
2
legendary director Mbangwa TV :
sawa mama, hapo usipepese maneno, mkazo tu, wanatuuwa sana. ningekuwa rais kama wewe, ningekata point bila kusikiliza mtu. madereva hawana huruma, wanajali aira kuliko uhai wa watu, ukiwaeleza punguzeni mwendo wanajibu matusi na unakuwa umeanzisha ugomvi badala ya kusikiliza raia. Asante mama
2026-11-20 17:45:03
0
@Dr machokodo Tz :
bado kukumbuka ya October
2026-11-20 15:18:16
8
Hussein_👑 :
Apo ndo umeharibu gari zitapaki Tena barabarani
2026-11-20 16:30:14
5
Zainabu ikulilo :
mama Mimi nakupenda sana rais Wang mungu anitunzie ww
2026-11-20 17:17:41
2
Edi :
Asante mama kwa hikima yako na busara zako
2026-11-20 16:53:52
4
idris last :
2030 ifike nikiwa hai inshallah
2026-11-20 17:09:01
1
likedsimba :
nashindwa niongee nn niachenbntaonekana n deleva Sina adabu
2026-11-20 17:09:29
2
Caitham Abdul :
atutak
2026-11-20 17:55:25
1
Matoboymkuthe samson :
aya sawa
2026-11-20 15:43:11
0
Hussein Nuru :
sijawahi kumuelewa
2026-11-20 15:10:56
8
Hussein_👑 :
Af muda wote nzi huwa wanamfata hivi mmeona kama mimi
2026-11-20 16:29:41
0
amosnyagawa :
madereva walishiriki kwenye utengenezaji wa hiyo sheria mnakaa wenyewe bila kujua changamoto zao
2026-11-20 18:34:50
1
Ngassa mdogo :
mbona nyie hamfuati sheria ya nchi kwa kuikanyaga katiba yetu
2026-11-20 18:15:20
1
kondo layzer :
mtaniadisia nimeishiwa hapo hapo mwanzo
2026-11-20 18:27:05
1
jimmymchaki :
tengeneza barabara mm
2026-11-20 16:14:15
0
amaninyari112 :
mungu nifundishe kunyamaza
2026-11-20 17:15:23
1
To see more videos from user @nuktatanzania, please go to the Tikwm
homepage.