Wasoma comments, Air Cooler haifanyi kazi kama Air Conditioner (AC). kifupi, Air Cooler ni 'fan ya bei kubwa'. kama unataka kununua Air Cooler iwe mbadala wa AC utajutia pesa yako.
1. Yanatoa upepo kama wa feni ya kawaida
2. Yanapiga kelele kinoma noma (kelele za muungurumo)
3. Bei kubwa.
Ushauri wangu; Ukiwa na budget ya 1.2M nunua AC coz AC za kisasa matumizi yake ya umeme ni madogo mnoo. Mpangaji? ongea na mwenye nyumba funga luku yako 320k, AC ndogo 9000BTU zenye inventer 600k.
2026-11-20 23:03:50
37
vitu_kutoka_germany :
Njoo ununue PORTABLE AC kwetu
2026-11-21 12:19:03
0
Aluh_Aziz :
Nimetaka kweli kununua inatoa baridi kama ac au its not worth it
2026-11-20 18:19:11
6
yusra omary7 :
inatowa ubaridi kweli
2026-11-20 15:02:45
1
judithmollel0 :
I have nataman hata kuuza😂😂 n mtihan yan uweke barafu na barafu ikiisha ndo kwsha kaz yan uwe unakatza usngz unaweka barafu kila ikiisha
2026-11-21 08:22:05
1
Jaden's mom :
Kwani Teddy..
juzi niiona tumbo
au ni kontent😂😂
si aki lilikuwa limekupendeza😂🥰
2026-11-21 09:42:59
0
JACQUES COLLECTION :
Kipenzi how much is it?
2026-11-20 18:21:18
0
young🇹🇿🇰🇷 :
amna kitu umo kilishawah kuniramba
2026-11-21 12:01:10
0
Tycoon :
Nice upgrade Air cooler iko na matumizi kidogo ya umeme ni affordable ukilinganisha na AC
2026-11-21 06:52:37
0
user063012 :
nasikia hiz air cooler miyeyusho kinoma😂
2026-11-21 12:18:56
0
Valentina 507💙💙🪷🪷 :
Bei gani dear
2026-11-20 17:42:32
0
adel :
Bei gan hii umenunua
2026-11-21 04:15:21
0
user2348702841861 :
bei gani hiyo air cooler
2026-11-21 05:34:34
0
Moureen Malk :
iyo stend ya viatu shingap
2026-11-20 20:07:59
0
𝓛𝓮𝓮🌸𝓥𝓪𝓷 :
Som koment
2026-11-21 08:33:20
0
mulastar255 :
Hivi wanawake mikinunua vitu huwa mnatazama brand au bei?
2026-11-20 21:12:49
0
ciah :
Is it better than fen ety 🌚
2026-11-20 18:05:26
2
Dinamic studios1 :
Haisaidii kitu iyo madam hahaha
2026-11-21 05:58:45
0
To see more videos from user @teddymeedwin, please go to the Tikwm
homepage.