Em niambie mazingira yapi ya kazi hayampeleki mtu mbinguni ?
2026-11-22 04:51:16
0
Elly Cursor :
hahaha mimi sitaki kwenda mbinguni
👆
kwani mbinguni ndiyo wapi?
2026-11-20 17:00:42
0
Soph Alex :
Amen 🙏
2026-11-21 19:08:53
0
Julie🌹 :
🙏🙏🙏
2026-11-20 14:44:51
0
Agness :
kweli kweli
2026-11-21 14:50:08
0
faraji iddi :
kwani nyie wachungaji mnawasaidiaga waumini wenu kodi za nyumba na ada za watt?? yaan mtu aache kufanya kazi kwasababu kazi haimpeleki mbinguni?? basi Mungu atangaze ajira sasa watu wafanye application.
mmeambiwa ya kaisari mpe kaisari maana yake yaliyo yamwili acha yatumike katika mwili na sio kuzuia watu wasifanye kazi kisa mazingira alafu watt wake wanaomba omba barabarani na nyinyi mpo kimyaa, wachungaji wasome na kuelewa namna ya kulitafsiri neno la Mungu mnaliharibu
2026-11-21 09:54:20
0
KISORY CHIBU BB :
🙏🙏🙏
2026-11-21 16:47:49
0
To see more videos from user @johnkingumakolo, please go to the Tikwm
homepage.